Nitakufuata Popote ............

Nitakufuata Popote ............

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
Tazama kwa makini hii picha na unijuze TAFADHALI bashiri ni nani anayetamka maneno yaliyopo kwenye kichwa cha somo 11.jpg
 
Huyu dada enzi zake alikuwa na kijungu, sijui kama mpaka sasa analo lile wezere!!!
anatafuta ukuu wa wilaya kwa nguvu zote huyu maana ndio nafasi za walamba viatu na wenye elimu yakuunga unga na wapiga domo ili waiweke ccm na ushushushu mwingi.hivi huyu ni MTZ au mkenyaaa
 
Huyo ni Mbongo na kwao ni huko Kilombero....

anatafuta ukuu wa wilaya kwa nguvu zote huyu maana ndio nafasi za walamba viatu na wenye elimu yakuunga unga na wapiga domo ili waiweke ccm na ushushushu mwingi.hivi huyu ni MTZ au mkenyaaa
 
Mbona JK hajavaa makijani yao.yupo na rangi ya huzuni tuu.
Hii mijitu haijui hata birthday yao.Gamba lilizaliwa tarehe 5/02/1977 ila nashanga wanasherehekea tarehe tofauti.
 
Nasikia hilo lemba analipindisha kidogo tu ili mwenye mji asitegue
anatafuta ukuu wa wilaya kwa nguvu zote huyu maana ndio nafasi za walamba viatu na wenye elimu yakuunga unga na wapiga domo ili waiweke ccm na ushushushu mwingi.hivi huyu ni mtz au mkenyaaa
 
teh! teh! una maana gani mkuu?
hapo ni kufanya tafakuri tunduizi.........................huenda yalikua maneno ya mjini...Nyere aliwahi kusema Dsm ni jiji linaoongoza kwa umbeya
 
Hivi Dokii amecha BONGO FLAVOR sasa anakata mauno kwenye majukwaa ya CCM?
 
Back
Top Bottom