Blue G
JF-Expert Member
- Jun 20, 2012
- 5,339
- 3,674
Haya mwayego mkuu tupo pamoja.Nipo mkuu si unajua tena sometimes mambo yanakuwa mengi, nipo mkuu
Haya mwayego mkuu tupo pamoja.Nipo mkuu si unajua tena sometimes mambo yanakuwa mengi, nipo mkuu
Mkuu siyo kwamba wamesahau, hawa jamaa enzi zile za chama kimoja walikuwa wanalazimisha wakati wa sherehe siku iwe public holiday, sasa wakati huu wa vyama vyingi inabidi kama sherehe zao zinaangukia siku za kazi inabidi aidha wapeleke mbele au warudishe nyuma ilimradi tu iangukie week end.Mbona JK hajavaa makijani yao.yupo na rangi ya huzuni tuu.
Hii mijitu haijui hata birthday yao.Gamba lilizaliwa tarehe 5/02/1977 ila nashanga wanasherehekea tarehe tofauti.