Nitakufa kwa ajili yake

Nitakufa kwa ajili yake

Kuna watu mnabahati ya kupendwa jamani! Mimi wangu juzi nilimtishia tuachane ili nimpime kama ananipenda kweli akanijibu "nisimtibue v*zi", nikawa mpole.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Kwahiyo wapenda peke yako au?
 
Kwahiyo wapenda peke yako au?

Ninapenda peke yangu, nimeona ni bora niendelee kujishikiza naye wakati na mimi nikiendelea kumtafuta atakayekuwa tayari kufa kwa ajili yangu.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kumbe kuna watu wapo tayari kufa kwa ajili ya mapenzi...duh!!!
 
Ninapenda peke yangu, nimeona ni bora niendelee kujishikiza naye wakati na mimi nikiendelea kumtafuta atakayekuwa tayari kufa kwa ajili yangu.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Kweli mapenzi ni usanii...sijui nani atapokea Oscar hapo
 
Kweli mapenzi ni usanii...sijui nani atapokea Oscar hapo

Mimi nitapokea ya best Producer, yeye atapokea ya best Director.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kuna watu mnabahati ya kupendwa jamani! Mimi wangu juzi nilimtishia tuachane ili nimpime kama ananipenda kweli akanijibu "nisimtibue v*zi", nikawa mpole.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

maji hayapimwi kwa mguu,utazama bure
 
nenda kale mzigo huo atatulia kuliko kujifanya unajua wakati mmeanza mapenzi mkiwa wadogo ndio hasara zake hizo...

kampe malovee huyo she loves you buddy..
kweli kabisa,arudi akampe kitu alichokiazisha, na ndio chanzo cha wivu wote kwa kuhisi kwamba utamu wote huo anawapa na wengine, please save her life & God ,will bless your bro
 
pfuuuuu chezea malovee wewe..
kweli mzee wa Rula, waliosema mapenzi ya run dunia hawakukosea, na pia katika kila mafanikio aliyonayo mwanaume nyuma yake kuna mwanamke, nimekubali kweli " chezaa mapenzi weyeeee unawezatoa roho yako bure au kufanya kitu ambacho jamii inaweza kukushanga kwamba umekifanya kisa ni maluv"
 
Ninapenda peke yangu, nimeona ni bora niendelee kujishikiza naye wakati na mimi nikiendelea kumtafuta atakayekuwa tayari kufa kwa ajili yangu.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
duh!!!!! kujishikisha wakati unatafuta atakayekuwa tayari kufa kwa ajili yako!!!!!!? umenifurahisha sana , bila shaka watu hao wako wachache sana now days katika 100 unaweza pata 2 au 3 tu
 
Pole mkuu, umenikumbusha wakati niko o-level, form three kuna binti alikuwa na jamaa yake na jamaa alikuw amempatia kweli. Ikaidi yule binti atafute ujanja wa kuacha shule. ikiwa kila akija shule anadai kichwa kinamuuma sana na wakati mwingine akawa ana-act amelogwa na kuanza kuongea malugha ya ajabu ajabu. akiombewa hamna kitu. ikaenda kama mwezi na nusu akaacha shule then akaolewa na yule jamaa. hadi kesho bint ni mzima kabisa. Ukiongea naye anajuta kukosa shule kwa sasa lakini hana jinsi maana hata jamaa aliyemlaghai naye ni mtu wa vimwana sana. kwa hiyo ni majuto juu ya majuto.

My point is, Huyo binti anajua kabisa nini anakifanya, wewe mwenyewe uamue out of your free mind, haumwi wala nini. huyu wa o-level alitusumbua tukampeleka kwa waombaji mbali mbali lakini wapi. hospitali wapi.
''huwa naamini mwanamke akikusudia kitu, ni balaa, ni zaidi ya tunavyowaelewa hawa ndugu''

Habari ndugu wanajamvi.
Nipo katika wakati mgumu sana kwa sasa.Kuna binti tulikuwa katika mahusiano lakin yeye alikuwa na wivu sana.Nina marafiki wa kike na wafanyakaz wenzangu wa kike na mashemeji wangu wa kike.huwa tunakaa na kuongea mambo mbalimbali lakin mpenz wangu hataki kabisa mm kuwa karibu na mtu wa jinsia ya kike.kutokana na mimi kumwambia kuwa siwez kutengana na hao marafiki sababu watu ni mali aliamua kuvunja mahusiano kwa kudai mimi nina mahusiano na hao wasichana.Nilimbembeleza lakin alikataa kabisa.sikuwa na jinsi nikaamua kuukubali ukweli na kuamua kusonga mbele japo kwa maumivu.Baada ya miezi miwili alianza kunipigia simu na kuniomba turudiane lakin nilimkatalia.aliendelea na baada ya mda akadai atajiua ikiwa ntaendelea kukataa kurudiana naye.baadae niliamua kukata mawasiliano naye kitu kilichomfanya augue kama ukichaa huku akitaja jina langu kila alipo zinduka kutoka usingizini.hali ikawa mbaya na kupelekwa hospital ambako madaktar wameshindwa kuona ugonjwa unaomsumbua ila wakashauri nitafutwe mm.wazazi wa binti wananipigia simu mara kwa mara wakiomba niende lakini siwez kwasababu niko mbali kimasomo na sasa hivi tiyar nina mpenz.wazazi wa binti wanapanga kuja nyumbani ili kuwaeleza wazazi wangu kuhusu tatizo hilo.plz nisaidie mawazo nifanye nini?
 
Magonjwa mengineee...

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom