Makubwa msaidie mwenzio akisharudia hali ya kawaida mtafute mshauri aongee nae kumuelezea hamtaweza kuwa wote najua ataumia lakini ataendelea na maisha afterall hamjazaliwa nae,
We mama mzima lakini??? Issue nyingine ni ngumu kweli inabidi mjitahidi sana kutoa ushauri wa mabinti zenu!!!
waache waje, kwani kuna tabu gani?
Hujabaka, hujamroga, na mbaya zaidi alikumwaga mwenyewe.
Ila na wewe miezi 2 tu ushapata mbadala?
Afu acheni kuanza mapenzi kabla akili hazijakomaa, mtauana bure, ex wako labda kapatwa ha hysteria.
Habari ndugu wanajamvi.
Nipo katika wakati mgumu sana kwa sasa.Kuna binti tulikuwa katika mahusiano lakin yeye alikuwa na wivu sana.Nina marafiki wa kike na wafanyakaz wenzangu wa kike na mashemeji wangu wa kike.huwa tunakaa na kuongea mambo mbalimbali lakin mpenz wangu hataki kabisa mm kuwa karibu na mtu wa jinsia ya kike.kutokana na mimi kumwambia kuwa siwez kutengana na hao marafiki sababu watu ni mali aliamua kuvunja mahusiano kwa kudai mimi nina mahusiano na hao wasichana.Nilimbembeleza lakin alikataa kabisa.sikuwa na jinsi nikaamua kuukubali ukweli na kuamua kusonga mbele japo kwa maumivu.Baada ya miezi miwili alianza kunipigia simu na kuniomba turudiane lakin nilimkatalia.aliendelea na baada ya mda akadai atajiua ikiwa ntaendelea kukataa kurudiana naye.baadae niliamua kukata mawasiliano naye kitu kilichomfanya augue kama ukichaa huku akitaja jina langu kila alipo zinduka kutoka usingizini.hali ikawa mbaya na kupelekwa hospital ambako madaktar wameshindwa kuona ugonjwa unaomsumbua ila wakashauri nitafutwe mm.wazazi wa binti wananipigia simu mara kwa mara wakiomba niende lakini siwez kwasababu niko mbali kimasomo na sasa hivi tiyar nina mpenz.wazazi wa binti wanapanga kuja nyumbani ili kuwaeleza wazazi wangu kuhusu tatizo hilo.plz nisaidie mawazo nifanye nini?
Mamzalendo hapo sasa!!! Yaani full vimbangwa! Nadhani hata malezi ya wazazi hayakuwa bora mpaka hapi walipofikia.
sio labda da konie ni hysteria hiyo huyu dogo ampe ata picha yake atulie atakufa bure kibinti cha watu..
Nani sasa anaekufa kwa ajili ya mwingine? Wewe, yeye ama Yesu?
Unautwaa uhai kwa ajili ya kiumbe usiemuumba wewe? Kha!