Kwa wasio ufahamu,kibaigwa ni mji mdogo wenye mamlaka yake kamili unaopatikana Mkoani dodoma ktk wilaya ya kongwa njiani kabla haujafika dodoma mjini,ktk uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika hivi karibu ni mtaa mmoja pekee unaoitwa malecela ambao ndio wamefanya uchaguzi na mgombea wa chadema akashinda,kwa nini mitaa mingine na vitongoji hawakupiga kura?
Nikiwa ktk maongezi na wenyeji wangu wakaanza kwa kusema siku ya uchaguzi walienda ktk vituo vya kupigia kura asubuhi wakaambiwa vifaa bado havijafika walipoenda baadae mchana wakaambiwa waondoke kwani uchaguzi hautafanyika kutokana na uhaba wa vifaa huku defender za polisi zikizunguka kwenye vituo kuondoa watu,wenyeji hao walidai sababu kubwa sio kwamba vifaa havikuwepo bali serikali iliogopa mji huo ungeweza kuchukuliwa na cdm ukizingatia ndio sehemu ambayo inategemewa kimapato ktk wilaya ya kongwa kwani hata lile soko maarufu la kimataifa la mahindi lipo hapa,kibaigwa ni mji wenye mchanganyiko wa watu kutoka mikoa tofauti,
Wafanya biashara wengi na wakulima wengi kutoka makabila ya wabena,wagogo,wakaguru na wachaga pia ikumbukwe pia kwamba mji huu ni moja ya maeneo ya walioathirika na mapigano yaliyotokea huko kiteto,kwani huku wanatoka wakulima na kiteto wafugaji ambao wanapinga huwepo wa wakulima,watu wa huku inasemekana wana hasira kutokana na hotuba ya mkuu aliyoitoa miezi michache alipotembelea huku pale aliposema viongozi wa kongwa na kiteto wakae waongee wamalize mgogoro kati ya wakulima na wafugaji kauli ambayo hawakuipenda kutolewa na mkuu wakati watu walikuwa wanauwawa hususani wakulima,
Sasa watu wameamua kulipiza kwenye sanduku la kura,serikali ili ruhusu uchaguzi ufanyike ktk mtaa huo mmoja wa malecela kwa sababu ndio kilipo kituo cha polisi halafu ndipo anapotoka diwani ambaye ni wa ccm ili kupima matokeo yatakuwaje sasa matokeo yalivyotoka na cdm wameshinda kwa kura nyingi mno sasa wameamua hata juzi kwenye marudia usifanyike kwenye maeneo mengine kwa kutoa sababu kama vile wagombea kutotimiza vigezo na sasa kesi ipo mahakamani watu wakidai haki yao ya kuchagua viongozi,kitu cha kushangaza ambacho najiuliza kama vifaa havikuwepo mwanzo mbona marudio pia hakuna na watu waliambiwa watapiga kura? Kama vifaa havikuwepo mwanzo mbona mkurugenzi wa almashauri hakuchukuliwa hatua?
Binafsi kinachonishangaza mbona habari hizi hazija tangazwa na chombo chochote cha habari? Siku mbili nilizo kaa huku nilijaribu kufanya utafiti mdogo nikagundua watu wa huku hawana uhakika wa kupiga kura kwani kesi iliyopo mahakamani wanasema ni ngumu wao kushinda kirahisi kwani kuna wagombea wa chama tawala walijitoa na kwenda kugombea kupitia chama pinzani cdm hivyo uchaguzi ukifanyika kuna uhakika sana ushindi ukaenda upinzani,
Natumaini mmepata picha ya huku ya wa tz wenzetu, na kawaida mjumbe hauwawi,thanks,
Safarini kuelekea sengerema.