mimi mtakatifu
JF-Expert Member
- Oct 11, 2019
- 303
- 657
- Thread starter
- #61
Dah huu ukweli unaumiza sana.. Sema nini acha nikubali maisha yaendelee nampiga chiniHupendwi
Jiongeze mdo mdo
Dah huu ukweli unaumiza sana.. Sema nini acha nikubali maisha yaendelee nampiga chiniHupendwi
Jiongeze mdo mdo
Acha nimpotezee tu, aina haja ya kulazimisha love. Mapenzi ni furaha.Nenda kwenye ule uzi wa jinsi ya kula tunda kimasihara utapata mbinu