Nitaka tunda nitulie..Nitapewaje?

Nitaka tunda nitulie..Nitapewaje?

Status
Not open for further replies.
aah, basi wewe anakuona boya, utawekezaje huduma kwa mtu asiyelipa fadhila?
Ngoja nipotezee tu na kuna demu mmoja ananielewa sana mie nampuuza acha niamishe majeshi, japo namuonea huruma maisha yake ila acha nizivue pingu.
 
Aha nme soma thread yote na comment..ila ili jibu ndo nilio kuwa nali tafta Una potezewa mda tu apo...
Kama alisha gawa ashindwe kukupa Tunda ilo..
Ndio alikuwa anampa
..Mpige biti kalii kwanza kama hakupi tunda kila mtu apite njia yake.. Aki kubari kula aki kataa endelea na life lingnee

Zama za kunyimana tunda zilisha pitwa na wakati.watu saiv hawana habari sana na bikra kama zamani
 
Hao Ndio wanawake wa kizamani sio Siri umeokota pochi ya mzungu sokoni endelea kuvuta subira amini usiamini unaweza kuta ni bikra
 
Kuna manzi namla kama mke wangu kuna siku nipo na machali akapita, kuna chali mmoja akasema yule mchumba wa rafiki yake. Lakini manzi yupo bikra na msela hapewi tunda, hahaha nikasema kuna watu majinga mimi namgegeda yeye hapewi kitu.


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
thibitisha
 
thibitisha
Hii ni true story ukiamini sawa na usipo amini ni sawa lakini imetokea kama nilivyo hadisia. Nilimgegeda mchumba wa mtu na mwenye mchumba wake hapewi kitu.


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom