Nitaka nianze mchakato wa talaka!

Ikitokea nimeatengana na huyu wa kwangu wala sitapata shida,nitabeba bag langu na kutokomea kusikojulikana.....pesa,mali,nyumba na magari itabaki kuwa sehemu ya urithi wa watoto wangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida wanawake wengi hawawezi kumanage Mali hivyo vyote vitateketea watoto watakosa pa kukimbilia.
Ikitokea nimeatengana na huyu wa kwangu wala sitapata shida,nitabeba bag langu na kutokomea kusikojulikana.....pesa,mali,nyumba na magari itabaki kuwa sehemu ya urithi wa watoto wangu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
umesema juu juu tu..unaanzisha talaka kwa sababu zipi hasa......tatizo gani kubwa limetokea..na kwa nii uanzishe kisa kakaa kimya....si usubiri yeye adai ...?
 
Acha umalaya, ishi na mkeo kwa amani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ni pm, nkupe dawa, buree sitaki unipe hata mia, ntakuelekeza matumizi, hicho kinachompa kiburi, kitapotea siku hyo hyo, naamin mkeo ataanza kukuamkia shikamoo!! Nb; uwe na roho ngumu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…