Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,126
- 62,124
Kwa hiyo makazi yenu ya kudumu yalikuwa Maganzo?Baada ya kuanza ugomvi nikafanya maamuzi ya kuondoka maana ningeendelea hasira zingesababisha mengine. Ni bora kukaa mbalu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama mke hataki kushuka,jifanye mjinga siku iishe utakuwa mjinga siku moja lakini utakuwa na furaha daima,Mungu hapendi kuachana
Sent using Jamii Forums mobile app
Boss umesema vema kuwa unamtegemea Mungu, kumbuka kiapo chako mbele ya umati siku ile, ulisema utampenda katika shida na raha, hadi kifo kiwatwnganishe. Dhambi i ayokuruhusu kutoa talaka ni uzinzi wa mkeo, tofauti na hapoukimwacha ukaoa tenautakuwa unazini.hivo jitahidkuwa mvumilivu
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana kwa changamoto hiyo Boss,,lakin pia kuw makin nae sana huyu mwanamke,,kuna hali ya hatarii ,,kuhusu kuachana kwakweli mm bado sijaona sababu ya msingi ya kufanya mpeane talakaNimemsuspect tu kama ana relationship Nje. Ameshindwa kujitetea kawa mbogo anaomba tutengane nikaamua kuishi mbali nae. Lkn bado sijafika mahakamani. Kifamilia tumekaa hataki ndoa hivyo ndo nafikiria huyu Mungu atanihukumu vipi nikienda mahakamani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nini chanzo hasa? hebu eleza vizuri ili tukushauri vyema Mkuu!
Duh! aiseeeee hatari fayaNa mm nasubiri majbu coz huku kwangu sina kitu ila nahisi mwaja huu hauishi lazima afe yey au mim kama cinema vile ila ndio uhalisia wa maisha yetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi sawa.Chanzo kirefu sana. Nimejitahidi kufupisha kwenye quotes nilizowajibu watu. Kuna siku nitaweka full story ya haya mambo mjifunze wanawake walivyo kwenye mambo ya mali
Sent using Jamii Forums mobile app
Mlishakaa mkazungumza kuhusu tatizo lenu? Je mlishirikisha familia na viongozi wa dini ikashindikana?
Talaka inatolewa pale mke na mume watakapotengana zaidi ya miaka miwili pasipo suluhu kupatikana
Kumaliza mwaka mmoja ktk kutengana kwenu hakumaanishi kuwa talaka itakubaliwa manake mke ametengana na wewe au mume ametengana na mke ili hasira zitulie kwanza. Hiyo kisheria inakubalika.
Talaka siyo nzuri, hata mahakama hawakubali kirahisi, labda iwe na sababu zenye mashiko kama mume au mke kufungwa gerezani kwa muda mrefu, maradhi yasiyotibika( cancer) unyanyasaji wa kijinsia, ukichaa baina ya wanandoa.
Jaribu kuongea na mwenza wako tena kabla hamjafikia huko kupeana talaka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo ya kanisa la ufufuo, Mashahidi wa Yehova, TAG, KKT, Moravian,RC au Kiislam? Hebu tueleze tatizo haswa linalofanya msilewane ni nn?Habari wana jf.
Napenda kuwaomba ushauri katika suala langu linalonisibu. Nimeishi kwenye ndoa miaka 13 Mungu akatujalia mafanikio makubwa kiasi tuna uwezo wa kusomesha watoto ada ya 4mil plus.
Tatizo tuna ugomvi mkubwa na wife, baada ya ugomvi interest yake ikawa kwenye mali tulizochuma.
Nikaamua kumuachia mali zote nika move on na kuanza maisha. Ugomvi umeanza tokea April 2018 nimekaa kimya nikiamini anaweza kuregret tukafanya maisha. Nimeona yupo kimya akiamini kama maisha kayaweza.
Nataka nianze process za talaka. Je, unanishauri vipi? Spiritual advises pia nazikaribisha. Bado miezi 2 tutimize mwaka wa kutengana. Tuna nyumba 4 gari moja Kluger, yeye yupo Maganzo shinyanga mimi nipo Dar.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh! aiseeeee hatari faya
HahahaahaNa mm nasubiri majbu coz huku kwangu sina kitu ila nahisi mwaja huu hauishi lazima afe yey au mim kama cinema vile ila ndio uhalisia wa maisha yetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba tabu ipo palepale??..Pesa pesa pesaaaaa!!
Ikikosekana taabu, ikipatikana pia taabu[emoji134]
Ndoa ni 'an Art' na sio 'science'
Sishauri sana mpeane talaka, jaribu tena kwenda ofisi za ustawi wa jamii zilizo karibu yako nadhani suluhu itapatikana. Mtapewa marital counselingKaka nashukuru Kwa ushauri wako. Ukweli kifamilia tumefika msimamo wake kutengana. Kwa Paroko hataki kabisa otherwise Mimi nikareport. Hiyo kwangu ngumu maana naona kama nitakuwa nalazimisha relationship. Ngoja niendelee kuvuta muda miaka 2 sio mbali.
Sent using Jamii Forums mobile app