Ni hahisi tu. Doubleclick computer/my computer icon iko hapo kweye desk top,ikifunguka angalia Hard Disc Drives ziko ngapi.Kama ni moja utakuta inakuambia Free space...of...GB.Kama Drives ni zaidi ya moja,fanya hisabati ndogo tu ya kutoa na kujumlisha.