mzee utrakiwe una potential gani kwa hiyo kampuni ya simu au serikali?shida watu mnapenda ku over think mambo aisee kha, au kama unaongelea kutrakiwa na mpenzi wako basi uza hiyo simu ununue nyingine
mzee utrakiwe una potential gani kwa hiyo kampuni ya simu au serikali?shida watu mnapenda ku over think mambo aisee kha, au kama unaongelea kutrakiwa na mpenzi wako basi uza hiyo simu ununue nyingine
.You have a very short sight vision, hivyo unavyofikiri akilini mwako sivyo uhalisia ulivyo.
Kuna mambo kadhaa ambayo yamewahi kuwakumba watu bila kutarajia ingawaje WA husika walikuwa na fikra kama hizo ulizonazo wewe.
Take care my friend, "always you have to dance carefully like EVERYONE is watching you".
Mmhhh!!! May be, but it dependsUkihisi una trakiwa fanya ku reboot simu ili ifute settings zote na kumpoteza maboya tracker wako. Unaanza upya tena
Tumia wifi ya ofisini kwako epuka kuweka line ya simu katika smartphone yako unayoitumia
badilisha imei number alafu ukitaka ku browse jaribu kutumia vpn za nje
Halafu kama wasiwasi wa kuwa hacked upo kwenye apps zako za social, jaribu kuweka strong pasword. Kuna vi spy apps vina generate password na victim ambao wako hatarini zaidi ni wale wanaotumia miaka yao au majina kama password. Jaribu ku mix alama kama hizi katika password zako. @=!?'"/π€¥α⤣¢%&√
😂 😂 😂 😂 😂 😂Hapo no. 1-3 basi wenye tekno wote watakua wanadukiliwa.
Tumia wifi ya ofisini kwako epuka kuweka line ya simu katika smartphone yako unayoitumia
badilisha imei number alafu ukitaka ku browse jaribu kutumia vpn za nje
Halafu kama wasiwasi wa kuwa hacked upo kwenye apps zako za social, jaribu kuweka strong pasword. Kuna vi spy apps vina generate password na victim ambao wako hatarini zaidi ni wale wanaotumia miaka yao au majina kama password. Jaribu ku mix alama kama hizi katika password zako. @=!?'"/π€¥α⤣¢%&√
Wifi ina access za line ya campuni, hivyo mdukuzi hawezi kujua kwa hakika kama ni wewe kwasababu inatumiwa na wengi kwa jina moja hilo hiloWi-Fi ya ofisi si ndio mbaya zaidi?
Haha mkuu hilo li pasword ni baba lao. Makorokocho kama hayo ukiyaweka utayakumbuka kweli..😂badilisha imei number.
Pia jaribu kuweka strong pasword. Mfano @=!?'"/π€¥α⤣¢%&√
With strong encryption smartphone inaweza kuwa salama zaidi.Absolutely.
Ili kuepuka kuwa ktk risk kubwa zaidi ya kudukuliwa Ni vyema kuepuka matumizi yasiyokuwa ya lazima, au matumizi mabaya kuhusiana na vifaa vya ki-electronic vinavyotumia "smart technology", e.g.smartphone, smart TV, laptops, desktop, etc.
Pia, pendelea zaidi kutumia simu za jamii ya CELLPHONES, usitumie simu za jamii ya Smart phones,na PDA (personal digital assistant) kwani KWA kutumia Smart phone na PDA risk ya kudukuliwa kirahisi zaidi ni kubwa sana kupita kiasi.
Ukitumia kifaa chochote kile cha ki-electronic ambacho kinatumia smart technology ujue kwamba upo uchi WA mnyama muda wote, hivyo basi unatakiwa uwe makini sana KWA sababu uwezekano wa kudukuliwa privacy yako ni !mkubwa sana kupita kiasi.With strong encryption smartphone inaweza kuwa salama zaidi.
Mkuu password imara inatakiwa iwe na at least character 9+ ila kiusalama zaidi. Halafu unamix helufi ndogo na kubwa katikati pia na space pamoja na hiyo mi alamaHaha mkuu hilo li pasword ni baba lao. Makorokocho kama hayo ukiyaweka utayakumbuka kweli..
Vipi IMEI wanabadilishaje mkuu..
Inategemea na situation, kuna situation isp wako ndie anaekudukua, ukiwa na kifaa ambacho sio smart huwezi kujilinda na hapa ndio unakuwa uchi, ila ukiwa na kifaa ambacho ni smart unaweza tumia tor ama vpn/proxies na kuwa anonymous.Ukitumia kifaa chochote kile cha ki-electronic ambacho kinatumia smart technology ujue kwamba upo uchi WA mnyama muda wote, hivyo basi unatakiwa uwe makini sana KWA sababu uwezekano wa kudukuliwa privacy yako ni !mkubwa sana kupita kiasi.
Kuna kisa cha kusikitisha sana ambacho kimemkumba "mkubwa mmoja wa Serikalini" kwenye hii nchi nilipo hivi sasa, fukuto LA chini chini kuhusiana na huo mkasa Ni kubwa sana. Ni kashfa nzito sana, NA Serikali ya nchi hii inajitahidi kuizima kashfa hiyo KWA nguvu zake zote.Kiini cha hiyo kashfa Ni udukuzi