Nitajuaje namba ya modem ya Zantel isiyotumia line?

Nitajuaje namba ya modem ya Zantel isiyotumia line?

beeper

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2013
Posts
253
Reaction score
107
Wadau nimeokota moderm ya zantel. Tatizo ni kwamba haina laini ya kuingiza IPO direct ,ninachoomba ni kujua jinsi ya kurecharge manake sijui namba yake

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Kujaza vocha dial 104 then watakwambia ujaze vocha ukishajaza mbeep mtu yeyote utapata namba yako kununua kifurushi andika number ya ya hio moderm space PLAN space MINI space kwenda 0776300300 ila tuma hii message kutumia sim yako then watakujibu kwamba moderm yako imeshaunganishwa na kifurushi
 
Thnx matata wacha nifanye hivyo.Hayo ndio mambo tunayoyataka kwenye ukumbi huu

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom