Nitajuaje kama simu(Samsung) ni original?

install cpu z toka playstore halafu ifungue halafu angalia soc yake

ukiona inaandika mediatek kama soc ujue hio ni fake

original itakuwa na soc ya snapdragon 800 au exynos octa 5420

Mkuu chief mara nyingi simu mpya ukiwa dukani aidha ipo kwenye box au chaji imeisha, na wakati mwingine inakua ngumu kwa mwenye duka kukuruhusu uiwekee program.

Je nikitumia njia ya kuchukua information kwenye website ya imei.info itakuakua sawa na hii ya kupitia cpu-z?
 
kwa njia ya imei 99% ni sahihi ila kama simu imebadilishwa imei unaweza uziwa kimeo,
 
Back
Top Bottom