Nitajuaje kama simu(Samsung) ni original?

install cpu z toka playstore halafu ifungue halafu angalia soc yake

ukiona inaandika mediatek kama soc ujue hio ni fake

original itakuwa na soc ya snapdragon 800 au exynos octa 5420

Vp hii ni Kwa Samsung zote au?
 
install cpu z toka playstore halafu ifungue halafu angalia soc yake

ukiona inaandika mediatek kama soc ujue hio ni fake

original itakuwa na soc ya snapdragon 800 au exynos octa 5420
Mkuu hii inapply kwa samsang zote au ni maalumu tu kwa aina ya samsung
 
install cpu z toka playstore halafu ifungue halafu angalia soc yake

ukiona inaandika mediatek kama soc ujue hio ni fake

original itakuwa na soc ya snapdragon 800 au exynos octa 5420
Mkuu hii inapply kwa simu za samsang zote au ni maalumu tu kwa aina ya samsung tu?
 
mkuu nimeshajibu hapo juu ni samsung zote ila aina ya snapdragon na exynos ndio zitatofautiana. pia zipo samsung za spectrum ila sijawahi ona ya mediatek.

cha muhimu specs za cpu-z zifanane na specs halisi. specs halisi unazipata kwenye website ya samsung au site kama gsmarena na phonearena
 
Ahsante sana mkuu, nimekupata siku nikitaka kufanya hayo manunuzi nitakukonsalti nikiwa nayo mkononi kujua zaidi.Kuna wakati nilikuwa na no yako ila nadhani ilipotea so ntku pm unisaide no yako kama hutojali.
 
Mkuu Chief Mkwawa.....naomba msaada kujua/kutambua simu za SONY hasa hizi SONY EXPERIA,naitambuaje ambayo ni fake mkuu?
 
mkuu post tu hapa hicho utakachokiona kwenye cpu z na aina ya simu
 
Mkuu Chief Mkwawa.....naomba msaada kujua/kutambua simu za SONY hasa hizi SONY EXPERIA,naitambuaje ambayo ni fake mkuu?
njia ni hio hio
-tambua jina la hio sony
-ingia internet angalia specs zake gsmarena
-dowload cpu z kwenye hio simu
-angalia specs za simu za cpu-z na za gsmarena zifananishe
-zikifanana ni original zisipofanana ni fake
 
Back
Top Bottom