Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,323
- 17,826
Kumbuka nafanya tracking hadi ya simu zako...very soon kuna mtu ata:rip:
hommie mbona hujanambia kama unataka kufa mapema ili tujiandae kabisa?eep:
Kumbuka nafanya tracking hadi ya simu zako...very soon kuna mtu ata:rip:
:tape::tape::tape::tape::tape:
aaah...mamaa mwenyewe mama BIG...hakuna mwengine......hebu toka huko ulipo haraka urudi bana tumeshakumiss......:hug:
halafu wewe....:tape::tape:
hahah Mpwa ulitufanyia 'kitu mbaya' pale
halafu wewe....:tape::tape:
hommie mbona hujanambia kama unataka kufa mapema ili tujiandae kabisa?eep:
Mwenyekiti Heshima mbele baada ya hapo naomba kusema kuwa tokea umeondoka nidhamu ya chama inazidi kushuka makabaila na mabepari wanazidi kujilimbikizia mali huku wanachama wengine wakilalamika maisha wanayoishi, kuna wafadhili wengine wamekuwa wagumu kutoa peas kisa watu wamepelekwa airport bila taarifa yake, wengine wamekuwa madreva teksi bila idhini ya chama
Mwenyekiti asante nifikishie salamu zangu kwa GY, Big, Kimey, RR na wengine usimsahau barafu wa moyo The Finest dig dig anayelinda simba jike
ANGALIZO
Finest dear,kabla ya kutoa malalamiko chunguza kwanza uongozi kuanzia juu.Inawezekana ukashtaki kwa muhusika ikawa kama kesi za EPA
Dah Kimey alipita pale USALULE akala zake mbili lazima nirufi nikadu ze nidifull
wewe jana asi nilikwambia akichukia tu basi TUMKOMOE...........hahahaha!!!!!!
Hommie bado niponipo bana....kuna vidigidigi vinasumbua...soon tutavigeuza mboga.....
kamata hii hapa chini kwa afya yako mamaa kubwaMwenyekiti asante nifikishie salamu zangu kwa GY, Big, Kimey, RR na wengine usimsahau barafu wa moyo The Finest dig dig anayelinda simba jike
Hommie bado niponipo bana....kuna vidigidigi vinasumbua...soon tutavigeuza mboga.....
dah muda umeopita cjui bonge yupo bado....hommie ukipita nshtue twende wote....
Mwenyekiti asante nifikishie salamu zangu kwa GY, Big, Kimey, RR na wengine usimsahau barafu wa moyo The Finest dig dig anayelinda simba jike
dah muda umeopita cjui bonge yupo bado....hommie ukipita nshtue twende wote....
Hahahaha usijali bonge alikunywa chupa mbili za Konyagi