Nitajuaje kama mpenzi wangu amefika kileleni (orgasm)?



Na kinyume cha haya uliyosema pia ni sahihi
 
changu changu cheni changu......ngoja nikae kimya maana hachelewi kusema kategwa huyu Asprin..:tape:
hahahahahaaa! Asprin bingwa wa kusingizia wenzake kuwa ni Makabaila kumbe yeye ndo settler kabisa!
 
Habar zenu banaaaa

Hii habari ya kufika au kutofika kileleni bana inategemea na mambo mengi

Asilimia zaidi ya 70 ya wanawake hawajawahi kufika na wala hawajui hicho ni kitu gani

lakini pia kwa mwanaume unaweza kumtune/kumtrain mwanamke ambaye 'amekuwa sugu' kutofika kileleni kutokana na mawazo potofu na akafika kama kawaida..wengi huwa hawajui umuhimu wa kuorgasm

jengine, hata orgasm yenyewe hutofautiana intensity kutegemea ni ya wapi na the 'build up' to that...ndo maana huwa inashauriwa kuwe na thorough foreplay ili kujenga mazingira

Nikija kwenye ile kuwa utajuaje.....well hii inategemea sana na UZOEFU wwenu wawili....mwanaume hawezi KUFEKI (tulishalijadili hili) lakini mwanamke anaweza kufake kama mwanaume sio mzoefu, ila kwa wazoefu kama members wa ISC huwezi kuwadanganya.....not least the chairman. Kinatokea nini hasa ndo kama alivosema mlimbwende Rose80....na niseme tu kwamba kama mwanamke kafika KWELI ni lazima ujue....halifichiki jembe la ng'ombe....

Orait
 
utasababisha roya anichukie maisha
 
Mwambieni mama big babu ameteguka kiuno, anahitaji kutumia mkongojo. Msaada tutani eti.

POSTED VIA MOBILE


Hommie umevunja katiba yetu kwa kulala gest?:nono::nono::nono:

Bado Baba Gift naye......
 
wakuu mko deep sana, asanteni kwa ushauri ngoja nikajaribu kwa kipotable changu now
 
Hahahahaaa! naona umechukua lile daftari la baolojia form IIC, then uka-do the needful kwa wapwaz wasiojua kama wenzi wao wamefika kileleni au no kufika.
 
Thus why wewe ni Mwenyekiti.....
 

Saluti mwenyekiti
 


mkuu sasa zile style zetu wengine za doggy style utajuaje manake hata sura hamuonani
 
Mwanadada akifika kule kunako kwanza kabisa miguu inatetemeka...halafu anatoa mguno/muungurumo usio kawaida...kama simba vile!:tape:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…