Nimekupata Mkuu.
Hapa hapa Umeibua Jambo lingine. Naomba kujua
Uhusiano wa Coolant na na Maji ya Kwenye Radiator Upoje?
Maana Coolant ipo kwenye Gari vizuri tu, shida ni Maji ya kawaida yale ndiyo yanapotea.
Kingine kuna wadau hapo juu akiwemo
JituMirabaMinne
Aliniambia kuwa gari ikichemsha huwa kuna signal yake kwenye Dashboard, ila sioni Signal yeyote mpaka hapa. Tafsiri yake ni kuwa haichemshi. Kwa maana hiyo concern yangu ndiyo nilitaka kujua kuwa haya Mambo inakuwaje Maji yanapungua na je mwisho wake utakuwaje?
Ahsnate saana kwa Ufafanuzi naanza kuelewa elewa.