Nitajiondoaje kwenye huduma ya SimuTV

Nitajiondoaje kwenye huduma ya SimuTV

leipzig

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2013
Posts
2,766
Reaction score
1,716
Nitajitoaje simutv katika simu yangu?meseji zinasumbua,nilijisajili wakati nikiwa na simu nzuri hiki ki nokia tochi kimeshindwa!
 
naomba kuuliza na mie. as nimejikuta bila kujisajili. nataka kutoka siwezi. pia najua ilakata hela kiasi fulani niliwahi kuongea nao kwa simu bado imeshindikana. naombeni msaada
 
naomba kuuliza na mie. as nimejikuta bila kujisajili. nataka kutoka siwezi. pia najua ilakata hela kiasi fulani niliwahi kuongea nao kwa simu bado imeshindikana. naombeni msaada
Uninstall hiyo app yao
 
Back
Top Bottom