Nitajinasuaje?

Hahahahahah kujitoa kwenye burudani hilo swala lilimshinda hata shetani😅 cha msingi we hakikisha ufumaniwi tu japo za mwizi arobaini!

Hakikisha mnawasilian kwa kuchati Jeiefu humu😅 sio mahala pengine popote!
 
Acha kuutii mwili hivyo.Mwili huwaga haunaga shukrani. Ukiuendekeza Mwili unapelekeshaga sana hasa pale ukiwa financialy stable. mimi niliugombeza ukasikia ukaacha kunipelekesha.Sababu mwili ukiuendekeza utakutenganisha/farakanisha na Mungu wako,kisha Mungu atakuacha utakuwa attacked.Ukiachwa na Mungu unakuwa kama computer isiyo na anti virus
 
Asan
Asante kwa ushauri
 
Aisee, Mkuu umenena.Bonge la ushauri; Yaani hii miili yetu ni full tamaa,na tamaa ukiiendekeza unaishia pabaya.Tuombe Mungu atunusuru.
 
Kimbi
Kimbia fasta, kuendekeza starehe mwisho wake huwa mbaya
 
atajua.


wanawake wana six sense
BT hii kitu ipo kwa wanawake tu? au ni watu wote tunayo????

asee sio kitu cha kupuuza, kuna kitu niliwahi kukihisi kumbe ni kweli kimefanywa 🤔🤔🤔 sirudii tena kupuuza hisia zangu
 
Kuna mtu atasema ety lipia tangazo
 
Sasa wat the problem is? Nyumbani sii huduma familia inapata wewe mwanaume bwana kugegeda nje ni kitu natural kabisa...infact mwanaume asipo gegeda nje huyo sio binadamu ni malaika hivyo hatakiwi kuishi hapa duniani
 
BT hii kitu ipo kwa wanawake tu? au ni watu wote tunayo????

asee sio kitu cha kupuuza, kuna kitu niliwahi kukihisi kumbe ni kweli kimefanywa
sirudii tena kupuuza hisia zangu
Wote tuna mlango wa sita wa fahamu.

Ukiweza ku in sync with nature properly hamna kitu mtu atakudanganya.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…