Nitajinasuaje?

Nitajinasuaje?

Penzi jipya hilo braza..

Time heals, "Every thing will be okey and normal for you"

Muheshimu sanaa MKEO kwasababu vya huyo mchepuko soon utavizoea na kuviona kama upepo tuu na hapo ndio Utauona umuhimu wa mkeo kwa mara nyengine..!!!

#YNWA
 
Asante mkuu
 
alafu ni kweli
Mleta mada tunasubiri mrejesho
Sio mimi tu hata mwanaume yeyote yule hawezi kumwambia mke wake hivyo, isipokua labda hampendi.
 
Watoto huwa wanarudisha roho nyuma
Kila ukiwakumbuka wanao wanavyokukimbilia wanacheka na wewe
Ukifika nyumbani wanakuzunguka miguuni wengine wanajipakatisha yaani full maupendo halafu unamuumiza mama yao!!!!!!!
Rudi nyumbani brother huyo mchepuko atasubiri kwanza
Acha kabisa sana sana Binti zangu wawili wakiniona utasema wameona almasi.
 
Umefikisha Umri gani Mwaka huu?

Tuanzie hapo kwanza.

Maana vijana vidogo vinakuwa na majukumu kabla ya Umri na vinajisahau kama NGOMA YA WATOTO HAIKESHI.
 
Umefikisha Umri gani Mwaka huu?

Tuanzie hapo kwanza.

Maana vijana vidogo vinakuwa na majukumu kabla ya Umri na vinajisahau kama NGOMA YA WATOTO HAIKESHI.
Umri si haba mwezi wa nane mwaka huu najaza 37
 
Members,
Mimi ni baba wa familia yenye watoto watatu. Mimi na mke wangu tunapendana na kuenjoy sex life as usual.
Ila nimeingia kwenye mtego wa penzi la mdada Mmoja. Yaani hilo penzi ni hatari. Huyu mdada anakojoa mara mbili mpaka tatu kabla ya mimi kukojoa mara Moja. Pia anamwaga maji mpka godoro linaloa. Yupo very romantic yaani tukianza Mimi napiga mpaka bao nne yeye zaidi ya bao nane. Kesho yake nipo hoi taabani ila kesho kutwa nataka tena. Sipendi kuiangamiza familia yangu nitafanya nn nijitoe wajuzi mnisaidie.
Mwambia asikojoe mara 4 na wewe acha kukojoa mara 4 hapo utakuwa umejinasua
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom