Nitajinasuaje?

Nitajinasuaje?

Penzi jipya hilo braza..

Time heals, "Every thing will be okey and normal for you"

Muheshimu sanaa MKEO kwasababu vya huyo mchepuko soon utavizoea na kuviona kama upepo tuu na hapo ndio Utauona umuhimu wa mkeo kwa mara nyengine..!!!

#YNWA
USHAUR mzuri Sana utafkiri uko kwny ndoa
 
Mimi sio mtabiri lkn nakuhakikishia huyo mdada sio kale kembambaaaa mana twembamba hatunaga maji zaidi ya mishimo mikuuubwa isiyo na mwisho, samahani lkn wembamba
Sure ni mfupi kiasi na mwili kiasi kama lulu wa magizoo afu nyuma kafungasha
 
Jf sijui imekuja kuwaje siku hizi?

Mada hizi nyingiiiiii
 
Yah man, cheating ina madhara makubwa sana mkuu, hasa mwanamke akishajua.
Mimi sikushauri uwe na makandokando kama mke wako ni mwaminifu, na anakuamini. Hiki ndiyo chanzo cha migogoro mingi ya ndoa.
Chukua ushauri huu ndugu Yesu akupe kushinda
 
Kitu kigumu kwa binadamu ni self-control, ukiweza kufanikisha hilo, utakuwa mfalme hapa duniani. Jitahidi kuwa na mpenzi mmoja. Ukishindwa jaribu kuwa msiri ingawa dunia haina siri, na siku zote mkiwa kwenye mapenzi mwenzako akichange utajua tu. Kwa hiyo mwanamke wako akitambua hilo, tegemea kupigiwa mke wako nje na wahuni.
Jamaa azingatie ushauri huu.
 
Penzi jipya hilo braza..

Time heals, "Every thing will be okey and normal for you"

Muheshimu sanaa MKEO kwasababu vya huyo mchepuko soon utavizoea na kuviona kama upepo tuu na hapo ndio Utauona umuhimu wa mkeo kwa mara nyengine..!!!

#YNWA
Neno la busara sana hili Mzee.
 
Ma single huwa tunaushauri mzuri wa ndoa..
Ndio maana makocha wengii hawakuwahi kuchezea ligi yoyote kubwa zaidi ya za mchangani tu.

Sasa sisi huu uhusiano wetu wa mchangani unatosha kabisaa kutupa experience..!!!

#YNWA
JamiiForums-2008220205.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Members,
Mimi ni baba wa familia yenye watoto watatu. Mimi na mke wangu tunapendana na kuenjoy sex life as usual.
Ila nimeingia kwenye mtego wa penzi la mdada Mmoja. Yaani hilo penzi ni hatari. Huyu mdada anakojoa mara mbili mpaka tatu kabla ya mimi kukojoa mara Moja. Pia anamwaga maji mpka godoro linaloa. Yupo very romantic yaani tukianza Mimi napiga mpaka bao nne yeye zaidi ya bao nane. Kesho yake nipo hoi taabani ila kesho kutwa nataka tena. Sipendi kuiangamiza familia yangu nitafanya nn nijitoe wajuzi mnisaidie.
Acha ufala we kamua tu.
 
Mkuu kama mzigo uko hv pole sana...ndio utaelewa maana ya kufa na kuzikana...
IMG-20220103-WA0014.jpg
 
Members,
Mimi ni baba wa familia yenye watoto watatu. Mimi na mke wangu tunapendana na kuenjoy sex life as usual.
Ila nimeingia kwenye mtego wa penzi la mdada Mmoja. Yaani hilo penzi ni hatari. Huyu mdada anakojoa mara mbili mpaka tatu kabla ya mimi kukojoa mara Moja. Pia anamwaga maji mpka godoro linaloa. Yupo very romantic yaani tukianza Mimi napiga mpaka bao nne yeye zaidi ya bao nane. Kesho yake nipo hoi taabani ila kesho kutwa nataka tena. Sipendi kuiangamiza familia yangu nitafanya nn nijitoe wajuzi mnisaidie.
Islam is a solution.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom