Pole sanaLeo wife alikuwa ananieleza kuwa tangu asubuhi msichana wa kazi ameamka ana hasira nikamjibu labda huyo msichana atakuwa kwenye siku zake ndo maana ana hasira. Wife kafanya uchunguzi wake kagundua ni kweli. Sasa amerudi kwangu eti anasema nilikuwa najua kabla. Anahisi kuna namna si bure.
Mheshimiwa Likasu,kama my wife wako kakasirika kwa wewe kujua hilo,dawa yake mchomekee tu,mwambie nawewe nadhani unakaribia kuingia katika cku zako,ndio maana umekasirika jambo dogo tu kama hilo..lol!..natania tu comrade,..pole mkuu kwa masahibu hayo,jitahidi mueleweshe shem kwa nini umehisi hivyo atakuelewa tu naimani wewe ni mwalimu wake bora ndio maana alikukimbizia kilichomtatiza.Leo wife alikuwa ananieleza kuwa tangu asubuhi msichana wa kazi ameamka ana hasira nikamjibu labda huyo msichana atakuwa kwenye siku zake ndo maana ana hasira. Wife kafanya uchunguzi wake kagundua ni kweli. Sasa amerudi kwangu eti anasema nilikuwa najua kabla. Anahisi kuna namna si bure.
Mwambie tu kwenye somo la baiolojia mlifundishwaga dalili moja wapo ya MP kwa mtoto wa kike ni hasira..........so ulikuwa unajaribu kupractise ulichofundishwa kwenye somo hilo!
<br />Mwambie tu kwenye somo la baiolojia mlifundishwaga dalili moja wapo ya MP kwa mtoto wa kike ni hasira..........so ulikuwa unajaribu kupractise ulichofundishwa kwenye somo hilo!
<br />Leo wife alikuwa ananieleza kuwa tangu asubuhi msichana wa kazi ameamka ana hasira nikamjibu labda huyo msichana atakuwa kwenye siku zake ndo maana ana hasira. Wife kafanya uchunguzi wake kagundua ni kweli. Sasa amerudi kwangu eti anasema nilikuwa najua kabla. Anahisi kuna namna si bure.