Nitaitambuaje TECNO original?

Nitaitambuaje TECNO original?

mobakha

Senior Member
Joined
Mar 7, 2014
Posts
100
Reaction score
21
Ninatumia simu ya Tecno P5 kutoka China, nimeambiwa sio feki(yakichina), nataka kujua ni vipi ntajua kama kweli simu yangu si feki
 
Ninatumia simu ya Tecno P5 kutoka China, nimeambiwa si feki(yakichin), nataka kujua ni vpi ntajua kama kweli simu yangu si feki

Nchi nyingi zilizoendelea hii brand hairuhusiwi kuingia.... nachoka zaidi unaposema Tecno nazo zina fake yake duu!!
Ninavyojua Tecno hawana clone ila wana matoleo kutegemeana na pochi yako inavyoruhusu, mf pochi ikituna vizuri na simu utapata nzuri & vice versa

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kiwanda cha tecno ni feki..
Wamiliki n feki..
Bei zao n feki..
 
Kiwanda cha tecno ni feki..
Wamiliki n feki..
Bei zao n feki..
Acha uongo,
TECNO TELECOM LIMITED, established in July 2006 in Hong Kong, is a comprehensive mobile phone manufacturer specializing in R&D, manufacturing, sales and service. With years of development, it has now become one of the major mobile phone suppliers in the world and one of the largest mobile phone manufacturers in China.

In the year of 2008, TECNO decided to focus on Africa as its key market and accordingly launched TECNO brand strategy. Through three years of efforts, TECNO has achieved initial success with its outstanding and unique marketing strategy, and has now become one of the most popular mobile phone brands in many countries in Africa. Besides, it has been recognized as the NO.1 Dual SIM mobile phone brand in those countries with TECNO branches, including Nigeria, Kenya and Ghana, etc. In 2010, TECNO has ascended into the top three mobile phone brands in Africa. The significant difference between TECNO and other mobile phone manufacturers is its product strategy that TECNO only provides suitable products for its customers.
 
Ninatumia simu ya Tecno P5 kutoka China, nimeambiwa si feki(yakichin), nataka kujua ni vpi ntajua kama kweli simu yangu si feki

Ni kweli kabisa unachokisema hapa mjini kaka ukizubaa unapigishwa hadi Tecno fake
Mm kuna ndugu yangu kaniletea Simu nimfanyie factory reset baada ya kufanya many pattern attempts na hivo siu kuji lock

Kwa juu hiyo simu imeandikwa Tecno na ukifungua betri ni Tecno D3 lakini nilishangazwa nilipoiwasha haioneshi Boot Logo ya Tecno bali BML na haikuweza kuingia kwenye recovery sawa na simu za Tecno D3

Hivo,ni ukweli usiopingika kuwa kuna hadi Clone za Tecno

Cha kufanya tembelea tovuti ya Tecno au google specifications za simu yako na ukizipatai basi Install ndani ya simu yako program inaitwa CPU-Z

Hii program itakusomea specification za simu yako na wewe utalinganisha na zile ulizoziona kwenye tovuti ya Tecno au mtandaoni katika web yoyote

credit to #chief_mkwawa
 
Tecno haina kiwango bro
Hata ukicheki gasmarena
Huwezi kuikuta
 
nimegoogle na kutembelea tovuti ya tecno www.tecno-mobile.com nlichokiona kimezidi kunishangaza kwa sababu hakuna ata catagory ya tecno p5 hata nliposearch only nlipata p3 na phantom Z result ya p5 inasema "" result not found" inaonesha kma nishapigwa changa la macho. bado naomba msaada zaid ili nisirejee makosa
 
nchi nyingi zilizoendelea hii brand hairuhusiwi kuingia.... Nachoka zaidi unaposema tecno nazo zina fake yake duu!!
Ninavyojua tecno hawana clone ila wana matoleo kutegemeana na pochi yako inavyoruhusu, mf pochi ikituna vizuri na simu utapata nzuri & vice versa

sent from my iphone using jamiiforums

hawaruhusiwi kuingia au wameshindwa kuingia kwenye market kwa sababu ya ushindani???
 
hawaruhusiwi kuingia au wameshindwa kuingia kwenye market kwa sababu ya ushindani???

hawaruhusiwi kaka hata ukiwauliza tecno simu zao zinaproduce SAR kiasi gani hawajui kama huamini nenda tawi lao lolote kaulize
 
nimegoogle na kutembelea tovuti ya tecno www.tecno-mobile.com nlichokiona kimezidi kunishangaza kwa sababu hakuna ata catagory ya tecno p5 hata nliposearch only nlipata p3 na phantom Z result ya p5 inasema "" result not found" inaonesha kma nishapigwa changa la macho. bado naomba msaada zaid ili nisirejee makosa

Labda umekosea ku search au hauja search neno halisi
Google search results for Tecno p5
 
gsmarena ni mtandao ambao unaonesha specification yani ubora wa cm yako
Lkn tecno huwezi iyona hapo
 
Simu kama haina tatizo lolote endelea kutumia. Unaangalia kama tecno ni original?
 
Simu kama haina tatizo lolote endelea kutumia. Unaangalia kama tecno ni original?

ndio naangalia kama original kwa sababu nikitaka kununua simu kwa mara nyengine niweze kujua
 
Back
Top Bottom