Nitaitambuaje TECNO original?

Nitaitambuaje TECNO original?

samahani, kwani tecno feki haitumi meseji wala kupokea cm
 
HOW TO KNOW AN ORIGINAL TECNO PHONE
1. Tembelea http://gc.tecno-mobile.com 2. Ingi...chana na hao wasema hovyo wanajua kubwata tu.
 
sasa hizo techno mbona kwenye internatinal market hazipo? n mbona wameelekeza sana bidhaa zao africa?
 
Wewe kama una mgodi wa madini kanunue Iphone hayupo wa kukuzuia.
Na mimi kama nina genge la nyanya wacha ni miliki Tecno at the end of the day tunakuta humu humu Jf.
 
Back
Top Bottom