Nitainukaje?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nitainukaje??

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Ligogoma, Mar 8, 2011.

 1. Ligogoma

  Ligogoma JF-Expert Member

  #1
  Mar 8, 2011
  Joined: Aug 27, 2010
  Messages: 2,137
  Likes Received: 851
  Trophy Points: 280
  Habari wana JF?

  Nina kampuni yangu nimeisajili kila kitu, ilikuwa vizuri kimtaji kabla ya kuiacha na kwenda kutafuta elimu zaidi. Gharama na maendeleo ya shule yote nilikuwa natoa kwenye kampuni kitu kilichofanya nimalize masomo but na kampuni nayo imeyumba sana!!

  Najaribu kuwaza nitajinyanyua vipi maana hata kazi bado sijapata na nahitaji mtaji niendeleze kampuni yangu!!

  Nimeisajili kwa usambazaji wa computer, nilikuwa nauza computer saana!!

  Asanteni saana
   
 2. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #2
  Mar 8, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  jaribu kwenda bank wakupe mtaji uweze kuinuka tena mkuu
   
Loading...