Highlander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 3,093
- 1,077
kwanini umesema aende chuo cha kiislam na sio cha kikristo??? una chuki na uislam wewe.
Jk kafanya URAIS kuwa URAHISI..
Hv mtu uwezi kuchangia maendeleo/mabadiliko ya nchi hadi uwe Rais
Ni haki yake kikatiba, tumpe muda
Pimbi ni wewe usiyejua maana unaendeshwa na upepo Kama bendera si ajabu ukiambiwa nenda haja kubwa hadharani utaenda sababu kasema Fulani ndani ya CDM.Endeleeni kutumiwa tu mapimbi watupu nyinyi.
Mpuuzi tu wewe, si wa kiwango changu tafuta wajinga wajinga wenzanko.Pimbi ni wewe usiyejua maana unaendeshwa na upepo Kama bendera si ajabu ukiambiwa nenda haja kubwa hadharani utaenda sababu kasema Fulani ndani ya CDM.
Mkuu!
Ki umri katiba ina mkubali au umeangalia vifungu kadhaa vingine ukavitupa kapuni?
Issue siyo umri kumbuka katiba ikokwenye mchakato na umri utabadilishwa
Hakuna mwoga ndani ya chama makini ila huu ni upuuzi wenu mnaouleta sasa hivi kwa ajili ya njaa zenu,endeleeni tu na usaliti wenu huku mkijifanya ni mambo ya demokrasia,sasa tuna kazi moja tu ya kutoa elimu ya uraia mnaibuka na ujinga wenu....hatutawavumilia ni lazima tuwaambie ukweli....mnatumiwa na maadui zetu.Haya ni maandishi kutoka jimbo la Lushoto. Maandishi kutoka kwa MBELWA Germano.
Kuwa na fikra na mitazamo tofauti ndani ya chama si chanzo cha vurugu na migogoro hata kidogo. Lazima wana-CDM tujifunze kutafsiri maana halisi ya migogoro. Tusidhani kwamba tunaweza kuishi na kudumu nje ya demokrasia bila kuweka utaratibu wa kidemokrasia. Lazima tujifunze kupima afya ya fikra zetu.
Naomba nimpongeze Deo Kisandu, Katibu wa wilaya ya Lushoto-CDM na Katibu wa Bavicha Mkoa wa Tanga kwa kuonyesha ujasiri mkubwa wa kueleza hisia zake za ndani. Wana-CDM tusiwe waoga wa demokrasia. Binafsi naamini wakitokea Presidential Aspirant watano wana-CDM na watanzania kwa ujumla watapata nafasi na kupima uwezo wao wa kiuongozi.
Hii ni mbinu ya kisiasa na wala tusidhanini mbinu ya kuibomoa CDM. Tuko kwenye kipindi cha mpito (transitition period) ya makuzi ya kidemokrasia chini ya nguzo ya fikra huru na hili lazima lianzie ndani ya chama. Tusiogope hali hii itazoeleka tuu na kuonekana jambo la kawaida.
Katibu Mwenezi,
Jimbo la Lushoto.
Mpuuzi tu wewe, si wa kiwango changu tafuta wajinga wajinga wenzanko.