Baba Clara
Member
- May 10, 2011
- 94
- 27
- Thread starter
-
- #61
Deo kisandu huyu ni katika wao ni mkristo mwenzao anatoka kaskazini si tatizo, Tatizo lipo kwa Zitto huyu si katika wao, mgombea wa CHADEMA anapendekezwa na CHRISTIAN DEMOCRATIC UNION, CDU.
CDM wanatumia strategy hiyo ili kui-water down hoja ya kipuuzi ya Msaliti Fisadi Zitto
Wanajamvi kwenye uchambuzi wa Magazeti Star TV Asubuhi kuna habari kwenye gazeti la Majira ya Katibu wa BAVICHA-CDM Mkoa wa Tanga Deogratius Kisandu naye ameungana na Zitto Zuberi Kabwe kutangaza nia ya kuomba ridhaa ya kugombea urais kupitia CDM.
Kwa mujibu wa Kisandu anaamini ana sifa zote za kumwezesha kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
My Take:
-Urais sasa umekuwa rahisi kiasi kwamba, kila mtu anaweza kuutaka bila hata kufanya utafiti wa kutosha kuona ni kwa kiwango gani anakubalika si tu ndani ya CDM bali pia miongoni mwa Wananchi.
-Vijana wa CDM wanahitaji kufundwa sasa maana picha inayo onekana ni ya uroho wa m adaraka tu miongoni mwao.
Deo kisandu huyu ni katika wao ni mkristo mwenzao anatoka kaskazini si tatizo, Tatizo lipo kwa Zitto huyu si katika wao, mgombea wa CHADEMA anapendekezwa na CHRISTIAN DEMOCRATIC UNION, CDU.
Deo kisandu huyu ni katika wao ni mkristo mwenzao anatoka kaskazini si tatizo, Tatizo lipo kwa Zitto huyu si katika wao, mgombea wa CHADEMA anapendekezwa na CHRISTIAN DEMOCRATIC UNION, CDU.
Mbona jina la huyo uliemtaja linafanana fanana na lako??!!
Ni mtizamo tu!
CDM wanatumia strategy hiyo ili kui-water down hoja ya kipuuzi ya Msaliti Fisadi Zitto
Ukristo na Uislamu havina sababu ya kuwa maadui. Wana sababu nyingi zaidi za kuwaleta pamoja kuliko za kuwatenga. Nakushauri kachukue kozi moja tu ya Comparative Religious Studies kwenye chuo kikuu chochote cha Kiislam upunguze upumbavu ulionao wewe na wengine wa aina yako. You are very, very shallow.
ngoja malemo aje tusikie kauli ya chama manake juzi povu lilimtoka kidogo achanganyikiwe.
Ameishiwa labda Mnyika aje ampige tafuhaya sasa, wale walokuwa wanamponda zito wako wapi?
Mtei atoe tamko lingine.
CDM hakuna vikao vya maamuzi ni Mtei na chama chake na mkwe wake.waache watangaze kwani nini bhana. @ the end of the day vikao vya chama ndo vitaamua.