Nitagombea Urais - Kisandu Deogratius

Ww ulichukua jina la deogratius kisandu tafadhali nipo chini ya miguu yako nakuomba mrudishie akili zake
 




Duuhh,Chizi karogwa tena!Namsihi mtukufu wetu walau kama hatoweza "kukuagiza India" kwa matibabu,basi walau akuagize milembe ukatibiwe!Ulipofikia panatosha,ni bora uagizwe milembe.


Nahisi wewe unaweza kuwa chanzo cha serikali kutaka kuwashusha walimu 7000+ toka sekondari na kuwaleta Shule za msingi.
 
Naomba nliteeni huyu mtu mirembe wallah ntamcare kuliko wengine maana anaonekana ana nia ya kudhubutu mazuri niletee uyo jamani
 
Nilikua nadhan umezeeka labda age imeharibu akiri... kumbe bado kijana hivyo, sasa hizi newz za kusadikika kila siku unafikiriaga nini
 
Huyu jamaa nuts kichwani zimelegea kabisa imebaki nut moja tu...ni kituko...uraisi haugaiwi kwenye mitandao....halafu kuna mawili.hapa hii lugha umeandika ukiwa umelewa au ndo kingereza cha UPE
...hata Trampu alianza hivihivi. Mdogo mdogo. Ki utani utani vile... Mara Prezidaa..
 
Your English is too shallow sir, It's Bashite kind of english, may you go for a refresher course plz?
 
Mm jamaji Deo! Si utumie kiswahi tu! Hii ya malikia siyo lazima utumie, Deo! Ah, jamani!!!
 
kupitia thread zake..huenda akawa anafanya 'analysis' au research kwa ajili ya kuwafundishia wanafunzi wake!?

sijapataga kumuelewa kisandu..

imhotep huwa anasema mentality yake imetimia
 
Deo Umekuwa Kilainishi cha Jf .. Tukitaka kucheka tunaandika neno Kisandu Kwenda 15789
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…