Nitagombea Igunga

Nimeamua kutangaza nia yangu mapema nitagombea kupitia chama changu cha CCM katika jimbo lililo wazi la igunga. naomba mniunge mkono wa JF Kidumu chama milele daima. CCM
Kura kama kura siyo tatizo tunaweza kukupa lakini mwaga sera zako jinsi utakavyo wasaidia wana Igunga. kwasasa unafanya nini? unataka kuingia kwenye siasa kama biashara au kama kuwasaidia wananchi wa Igunga? Ebu nishawishi basi nikusaidie kupiga debe.

Swali lamsingi: wewe ni Willy wa USA au ni nani? maana naona Id yako ni ya jana.Inaonekana umeona aibu kupost kwa Id yako ya zamani.
 
Umetokea wapi wewe?Au .....Ngoja nisiseme,umeiudhi sana!
 
Nimeamua kutangaza nia yangu mapema nitagombea kupitia chama changu cha CCM katika jimbo lililo wazi la igunga. naomba mniunge mkono wa JF Kidumu chama milele daima. CCM

Nini kinakusukuma kugombea Ubunge, ni mshahara na marupurupu manono wanayolipwa wabunge au ni uchungu ulionao kwa maskini wa Tanzania? Jee utateteaje maskini wa Tanzania kama vile kupanda kwa bei ya mafuta ya taa wakati wanaofaidika na biashara hiyo ndio watakaokusaidia kugharamia kampeni zako?
 
Wewe nani?utaifanyia nini igunga?unasema nini kuhusu rostam,je ashitakiwe?
 
KAMA UNATAKA UBUNGE IGUNGA KWA TIKETI YA CCM LAZIMA UWE MUIRAN,OTHERWISE HAMIA CHADEMA TUKUPIMe
 
Acha siasa zako za matope..kwanza jiweke hadharani ndio utambie sisi wana JF tukuunge mkono, sasa jina kapuni unategemea nini?
 
Dr.kafumu anarudi kugombea kupitia ccm

Kafumu ni corrupt hatapita kwa Chadema maana uozo wake wa madini uko wazi .Jamaa ana majigambo pia sana na hata utu kwa wapiga kura anajisikia mno .Namfahamu huyu jamaa .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom