Chumba cha kupanga kinahitajika Sakina,Arusha

Planner

JF-Expert Member
Apr 5, 2011
348
148
Heshima mbele wadau,

Nina shida ya chumba cha kupanga "single" maeneo ya Sakina Arusha au nyuma na Tripple A Club au upande wa chini maeneo ya " Tellamande lodge au "Nyumba ya blue" along Namanga road.

Sifa za chumba..
-Kiwe standard (finishing)
-maji na umeme vya uhakika,usalama
-Isiwe nyumba ya wapangaji weengi
-Bei iwe 40,000-60,000

Mwenye nacho au unafahamu yeyote atakayekua msaada kwangu nitumie PM.

Natanguliza shukrani.
 
Kiwe cha udongo/tope au tofali za cement? Iwe imeezekwa nyasi au bati? Choo cha shimo au kuflash? Weka bayana
 
Kiwe cha udongo/tope au tofali za cement? Iwe imeezekwa nyasi au bati? Choo cha shimo au kuflash? Weka bayana
Tofali za cement...kuezekwa bati au kigae..sakafu cement au tiles..umeme na maji choo cha kuflash .nk.

Nadhani kwa maelezo yake ya awali tumsaidie kupata cha wasifu huo
 
Tofali za cement...kuezekwa bati au kigae..sakafu cement au tiles..umeme na maji choo cha kuflash .nk.

Nadhani kwa maelezo yake ya awali tumsaidie kupata cha wasifu huo
Ni kweli Mkuu mwaikibaki cha wasifu huu kitanifaa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom