NITAFURAHI SANA NIKIPATA DEMU WA "kizaramo". | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NITAFURAHI SANA NIKIPATA DEMU WA "kizaramo".

Discussion in 'Love Connect' started by MR.LEO, Sep 18, 2012.

 1. M

  MR.LEO Senior Member

  #1
  Sep 18, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 129
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nina miaka 27.
  Kwa sasa naishi mtwara na ndo ninakofanya kazi,hivi karibuni natarajia kuamia kibaha.
  Nimewahi kuishi na familia mbili za kizaramo katika nyakati tofauti na kusema ukweli nilipendezewa nao sana.
  Nikaweka nia kwamba nitakapoanza mchakato wa kuanzisha familia basi nikipata mzaramo itakua poa sana.
  NAWASILISHA WADAU!
   
 2. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #2
  Sep 18, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  MR.LEO Umeishi na wachaga?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. princess enny

  princess enny JF-Expert Member

  #3
  Sep 18, 2012
  Joined: May 27, 2012
  Messages: 1,042
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  wazaramo wapo wa kumwaga wee nenda chole uajichagulie
   
 4. adakiss23

  adakiss23 JF-Expert Member

  #4
  Sep 18, 2012
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 3,346
  Likes Received: 655
  Trophy Points: 280
  Nenda buguruni.. Ndo airport yao.. Ijumaa wapo kibao pale wanaenda ngomani then wanarudi j4

  Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
   
 5. U

  Ubungo JF-Expert Member

  #5
  Sep 18, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kila la heri.
   
 6. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #6
  Sep 18, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Tufikirieni na sisi wakwere jamani.
   
 7. K

  KENET JF-Expert Member

  #7
  Sep 18, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 259
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Lakini usiwe na wivu naye,akiomba ruhusa kwenda kukesha kwenye ngoma wiki moja uwe tayari vilevile kumkubalia.
   
 8. adakiss23

  adakiss23 JF-Expert Member

  #8
  Sep 18, 2012
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 3,346
  Likes Received: 655
  Trophy Points: 280
  Kumbe wewe ******?? Unatokea kijiji gani msoga au mboga?


  Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
   
 9. M

  MR.LEO Senior Member

  #9
  Sep 18, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 129
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mmmmmh'
  madameX', wachaga sijawahi kuishi nao kabisa ila huwa nasikia tetesi kwamba wanapenda sana hela nasikia eti hawajui 'mamboz'
   
 10. adakiss23

  adakiss23 JF-Expert Member

  #10
  Sep 18, 2012
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 3,346
  Likes Received: 655
  Trophy Points: 280
  Lazima utakuwa mmachame ww

  Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. M

  MR.LEO Senior Member

  #11
  Sep 18, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 129
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  princess enny,hiyo chole iko wapi?
   
 12. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #12
  Sep 18, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  :nono: :nono: wishful thinking
   
 13. awp

  awp JF-Expert Member

  #13
  Sep 18, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,714
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Safi sana
   
 14. y

  yammie New Member

  #14
  Sep 18, 2012
  Joined: Aug 31, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kabila sio issue uzuri wa mtu ni tabia hivyo ni bora ungejikita kwenye kuangalia tabia zaidi kulilko kuangalia kabila. Maana Unavyosema wachaga hawajui mambozi alifanya reseach gani? Wako wachaga ambao wako fiti kupita maelezo utandawazi wote huu ulioenea unafikiri kuna cha mchaga au mzaramo?
   
 15. M

  MR.LEO Senior Member

  #15
  Sep 18, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 129
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  yammie!
  YOU ARE VERY RIGHT.
   
 16. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #16
  Sep 18, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,509
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  ukubali kumnunulia pichu ya bati ufinge na Solex kubwa kabisa
   
 17. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #17
  Sep 18, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Muulize platozoom ndie alifanya sensa ya wazaramo wote wa JF, hadi Mods.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #18
  Sep 18, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,319
  Likes Received: 2,286
  Trophy Points: 280
  Mpaka wa Msanga, Masaki, Maneromango, Kisarawe, Kisiju, Kimanzichana, Gezaulole, Chang'ombe, Chanika, Kongowe, Mkuranga, Mtazameni, Kisiju n.k.............Nikimaliza Wazaramo nakuja kwa Wadengereko (wako mods pia)
   
 19. M

  MR.LEO Senior Member

  #19
  Sep 18, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 129
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hizo kost za bati ndo zikoje mdau na zinasaidia nini hasa?
   
 20. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #20
  Sep 18, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,509
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  umekuwa mgeni hawa watu wakienda kwenye midundiko yao nini kinatokea?
   
Loading...