Nitafanyaje ili nipunguze addiction yangu kwa JF?

TUKANA MTU BOOONGE LA TUSI !!
hapo utapigwa ban,let say ya miaka 10. Na ukishamaliza kutumikia kifungo then ukarudi Utakuwa huna hamu ya jf Kama mwanzo.
 
TUKANA MTU BOOONGE LA TUSI !!
hapo utapigwa ban,let say ya miaka 10. Na ukishamaliza kutumikia kifungo then ukarudi Utakuwa huna hamu ya jf Kama mwanzo.
hahahahaa...hapana mkuu,si kwa style iyo.mi nataka jf nisiiache ila,isinitese au inifanye hadi nkilala niote
 
Switch off data that is stay and be in sober off internet mode for two months while controlling yourself..... nobody should push on this.

All the best.
thanks kasinde,i will try to do that...if i will succeed though,on other hand it seems to be tough,because i thought that many things will pass out of my way...and i will not be tuned whats going on throughout the world,as jf is the only place i can get news and all updates
 
Mbona sijawahi ona comment yako sehemu yoyote ile
hahaha,mkuu jaribu kupitia comments kibao au contents zangu,kwanz hivi juzi tuu huku chitchat nimekesha na ndo usiku nikaota naendlea kucomment na kuchat na members wengne asee...sikulala.
 
Jiweke busy kdgo
iko ivo mkuu,huwa najaribu kufanya ivo ila sema siku haiwezi kupita sijaingia au hata nikiwa busy kuna mda najikuta nakaa mezan na pc kuanza kufungua majukwaa.lada itaezekana huko mbeleni
 
sawa mkuu,nitajitahidi though sometimez huwa inatokea ivo,ila tatizo muda nitakapoigusa ndo bhas tena apoapo,nanogewa na kuperuzi mda mwngne adi asubuhi ase...
Pole sana kuna wakati inabidi ubadilike kulingana na wakati we ukiwa bize na kazi Mara nyingi mwili unakuwa umechoka ukianza tu kuperuzi usingizi unakuja fasta
 
Huna kaz Ndo maana Halafu Ww Si mwalim msigwa
hahahaha....nina kazi nyingi sana mkuu,kupita maelezo yani hata zingne huwa simalizi,ila huwa inakuja automatically kuwa jf pia ni lazima niingie,na huwa nashindwa kujizuia.
 
Back
Top Bottom