Blank page
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 5,213
- 4,328
Dah,wakuu ase nahisi huu ni ugonjwa au addiction ya hii JF yetu,sio kwa kiasi hiki kiukweli nimekuwa natumia muda mwingi katika siku yangu kufatilia habari na kucomment katika majukwaa tofauti,hapa JF ila sasa,shida ipo ivi huwa ukifika mda wa usiku kama nikiingia kwa jukwaa,badae mda wa kulala nikalala huwa napata usingiz lakini kwa shida sana maana usiku huwa naweweseka sana na kuwaza au kuwa najiona kama bado nachat au kuperuzi JF na huwa hali iyo inajirudia au huchukua muda mrefu kiasi kwamba hata usingizi huniisha nikiamka asubuhi nakuwa nimechoka sana.vp wakuu wa MMU ntazuia vp hii hali au nitumie vp JF Isinidhuru kiasi hiki?