Nitafanya kama Mwaka jana.

Nitafanya kama Mwaka jana.

kbm

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
5,224
Reaction score
1,687
Mzee mmoja alipanda kwenye daladala lilikuwa limejaa, hivyo akalazimika kusima. Wakati safari ikiendelea, akagundua kuwa amechomolewa fedha zake. Hali ilikuwa hivi:
MZEE: Jamani alienichukulia hela yangu anirudishie tu mwenyewe, nisije fanya kama nilichofanya Mwaka 1961.
Baada ya kuhisi huenda angedhurika jamaa aliyechukua zile fedha akaogopa na kumrudishia, kasha akamuuliza jamaa: kwani ulifanyaje Mwaka huo?
MZEE: We acha tu mjukuu wangu’ nilitembea kwa miguu kuto Mbagala hadi Tegeta.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom