Nitaendelea kumtetea Zitto kwa gharama zangu zote. Kwa pamoja tuutokomeze ukiritimba

Hiyo agenda ya Fedha za Uswis na New Jersey kwa makusudi kabisa ilitolewa kwa Zitto (alipewa kimkakati), ili kumpa super-powers aonekana ni wa muhimu sana ndani ya cdm, na huku akiendelea kuua cdm kwa mkono wa chuma uliofichama.

Zitto is not as smart as many of us happen to think, ni kwamba anakuwa spoon-fed with all the nasty stuff on round table, then anakuja kuspill ndani ya bunge with all the monstrous rage, kumbe mwenzetu yuko kimkakati zaidi, na anajihakikishia kuwa anaendelea kubaki kwenye payroll za wanaomtuma.

Kwasasa hizo ni mbinu za kizamani, the world has moved an inch from the place it used to position itself, na wewe hujastukia!
 
Zitto anatetewa na watu hafifu na dhalili.....sasa huyu naye mtetezi wa Zitto , empty set yaani buyu kabisa

vyovyote utakavyo nichukulia lakini rejea kauli ya afande sele.
usidhani chama kitaweza kushinda hisia za vijana
na ndio maana mpaka sasa wafuatao hawawezi kuliongelea suala hilo.
joseph mbilinyi
wenje
mdee
hata mnyika anatekeleza kishingo upande sio sawa na anavyo tekeleza lissu.

kwa pamoja tutautokomeza ukiritimba.
 
Ninachofurahi Chadema na wafuasi wao wamerudi CCM.

mkuu chukua huo kama ni ushahidi wa vijana wengi wa chadema sisi ni mamluki,unahitaji kutumia akili ndogo tu(kama werema alivyofanya) na unaweza kutubadilisha wote tukaelekea upande mwingine muda huo huo
 
Zitto Kabwe ni Mlevi wa sifa, kwangu nawashauri wale wafuasi wake wapige kimya kidogo kisha wamwaambie Boss wao (ZZK) akatubu dhambi zake zote tena kwenye media live hasa TV, aseme alivyo isaliti CDM, asema alivyotudanganya kuhusu pesa za USWIS mwishowe sisi tutapima huku mtaani kiasi cha kumpimia kwenye msamaha
 
Walewale Zittomphobia, Kumbuka Mnyika alianza harakati za kuomba kura mwaka 2005 sambamba na huyo Mungu mtu wako, sasa iweje leo useme unayosema. Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maharifa
 
Ninachofurahi Chadema na wafuasi wao wamerudi CCM.

Unahisia kuwa ukiitwa mpinzani lazima upinge kila kitu? Hapa tuko kuisaidia nchi sio kuwaza umaarufu, punguza kukariri wakati mwingine jishughulishe basi upunguze division five
 
Bwana Tofyo,

Nipende tu kusema kuwa hujui unachoongea na pengine ni kutokana na uelewa wako finyu kwa kuwa na akili ndogo! Kama tu umeshindwa kuandika Kiswahili Fasaha cha neno''GHARAMA'' na ukaandika GARAMA ninapata shaka sana kama una elimu ya kuweza kuchambua na kuchanganua mambo!

Wewe nakuona ni sawa tu na wale vijana waliokutana na Dr. Slaa juzi kwenye mkutano wa chama huko Kigoma wakiwa wamebeba mabango ya kumtetea ZZK huku wakiwa wamelewa chakari na baada ya kuulizwa kama ni Wanachama wa CDM kila mmoja akadai hawajawahi kuwa wanachama wala kuona kadi ya CDM hata siku moja! Si ajabu wewe ni mmoja wa hao vijana wapuuzi na wajinga wanaotumiwa kama TOILET paper na Wanasiasa wa CCM-Magamba kwa kupewa hela ya Viroba ili kutekeleza mbinu chafu za kutaka kuichafua CDM.

Wewe endelea kutumika tu kama TP-Toilet Paper, yaani karatasi ya Chooni ambayo mtu huiona ni muhimu pale tu anapojisikia kwenda chooni.

Poooole sana kijana wa viroba.
 
Mnamuone bure ZZK!CHADEMA hebu fikirien kwa umakini uamuzi mlioutoa kwa ZZK na Dr Kitila maana dhambi hiyo itaendelea kuwatafuna!Time will tell!
 
ZITTO HANA HATIA KIKATIBA YEYE SI MWANDISHI WA WARAKA ULE, WALIOUANDAA WAMESHA JITAJA WENYEWE SASA NONGWA YA NINI PAMOJA NA YOTE YANAYOENDELEA,ABAKIZIWE UANACHAMA WAKE KAMA MWANACHAMA HAI,CHINI YA UANGALIZI MAALUMU WA KUONA UHUSIANO WAKE NA CDM NA HARAKATi ZAKE NA INTERGRATION ZAKE NDANI YA CHAMA KWA UJUMLA

Hata vurugu za Kigoma amekana hahusiki, only fools can believe this.
 
Sisi wazee wenu tuliokula chumvi nyingi tunawashauri vijana wawe mfano wakuigwa, ni laana mbaya sana kijana kuwa msaliti wa matarajio yake, msaliti wa ndoto za vijana wengine kama Zitto Kabwe alivyofanya.
Tunasema hivi, vijana tokomezeni uhaini unaofanywa na Zitto Kabwe uwe somo kwa vijana kujipima, wasiwe rahisi kununuliwa na kuwa waongo kama Zitto Kabwe
 
tuko pamoja mkuu na kwa pamoja tutashinda, wacha nguvu ya umma ipambane na nguvu ya CHADEMA FAMILY
kwa pamoja tuutokomeze ukiritimba hapa nchini.
nikiwa kama kijana nisietofautia umri na zitto kabwe nimepatwa na simanzi na jeraha la moyo baada ya cc ya chadema kufanya maamuzi ya awali juu ya kijana mwenzangu.
nakumbuka hata kampeni za vijana wengine kama mnyika,mdee,vicent nyerere wenje na wengineo waliomba tuwape kura ili wakasaidiane na mwenzao zitto kabwe.
kwa hiyo zitto ndio chimbuko la vijana chadema mtake msitake.imekuwa ni kawaida hapa nchini vijana kuzimwa nyota zao.
namkumbuka marehemu amina chifupa wakati tukiwa makongo sec.2000-2001 alikuwa ni mwana dada mwenye ndoto nzuri kwa vijana wote na amekufa akiwa katika harakati za kuwakomboa vijana na dimbwi la mihadarati.
naomba niseme kwa kinywa kipana kuwa, mbinu chafu zinazo fanyika juu ya kijana mwenzangu hazikubaliki hata kidogo.
naomba vijana wote tulitazame mara mbilimbili suala hili, tusikubali kuporomoshwa tunapo karibia mafanikio.
kama tutakubaliana na la zitto kesho litakuwa la makamba kesho kutwa la mnyika.
"VIJANA AMKENI"
 
Huu Ushauri wako mzuri ulitakiwa uumpe yeye Zito alipokuwa anajifanya bila yeye mambo hayaendi. Sio sasa wakati watu wamemuonyesha yeye si lolote
 
Unahisia kuwa ukiitwa mpinzani lazima upinge kila kitu? Hapa tuko kuisaidia nchi sio kuwaza umaarufu, punguza kukariri wakati mwingine jishughulishe basi upunguze division five
Kwa hiyo tunaungana wote na Mwanasheria Mkuu wa serikali kupinga kuwa hakuna mtu mwenye pesa nje huo ni uongo wa Zitto.
 
Kwa hiyo tunaungana wote na Mwanasheria Mkuu wa serikali kupinga kuwa hakuna mtu mwenye pesa nje huo ni uongo wa Zitto.

Angalia ijumaa ya leo ungeitumia kusaka wapi kuna ubwabwa maana huna la kuchangia humu na kuni zako zimelowa maji haziwaki.
 
ZItto who is this man yaan sielewi huko uswisi alikuw anafuata nini kama majina hana? au kujustify posho?
 
Chadema na Ccm wameungana na mwanasheria mkuu kwamba hakuna mtanzania yoyote aliyetorosha fedha nje. Ccm kiboko yao aiseee!!!..
 
Back
Top Bottom