Nitaendelea kuamini hili kua wanawake wa Kiafrika bado hawastahili High position,Wapikwe vya kutosha kwa Miaka Zaid hata 20100 huko ndio waruhusiwe.

Nitaendelea kuamini hili kua wanawake wa Kiafrika bado hawastahili High position,Wapikwe vya kutosha kwa Miaka Zaid hata 20100 huko ndio waruhusiwe.

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2019
Posts
2,336
Reaction score
4,848
Kuna siku niliandika uzi...nikasema yule Rais wa ile Nchi ni kielelezo kingine kikubwa kua Wanawake wa Afrika kwenye Mwaswala ya Uongozi bado.

Mods mkaula kichwa ule uzi sijui kwa sababu nilimtaja kabisa.

Ila leo simtaji ila nahisi mshaelewa kama mtu ananibishia ataje kuna baadhi ya Nchi hapa Africa zimetawaliwa na wanawake aseme ni ipi ilipiga hatua?

Kuna Nchi flani ilifikia hatua wakauza hadi ndege ya Rais uchumi ulizorota sana Rais by that time alikua She.

Hili sio Tusi kwa wanawake na Mods huu uzi sijauandika kwa lengo la kudhalilisha wanawake ila ni ukweli kua kwa mazingira ya Afrika wanawake bado sana kufikia kiwango cha kua viongozi wakubwa because mazingira ya Afrika hayajawaandaa toka zaman....hawa wameenza kujulikana baada ya Globalization na yale masharti ya 50/50 kutoka kwa wafadhili sa ni lini si juzi tu hapa.

Mods huuu uzi muuache hukuhuku na msiufute waacheni wanaochangia wachangie.

Kenge was here.
 
Zinazotawaliwa na wanaume zimepiga hatua?
Jifunze kujibu hoja siyo kuuliza swali juu ya hoja.
Mnaweza kwenda hivyo infinitively bila kupata jibu.
Maana mtoa hoja akikuuliza: 'ni nchi gani iliyotawaliwa na mwanamke iliyopiga hatua'?
Nawe utarudi: 'taja kwanza wewe nchi iliyotawaliwa na mwanaume ikapiga hatua'!
Kwa mtindo huo hamuwezi kufika mwisho.
 
Mkuu ubarikiwe agiza supu nitalipa,tatizo sio uwezo wao wa kufikiria au elimu,tatizo malezi ya mtoto wa kike wa kiafrica,tamaduni zetu,..haimfanyi kua kiongozi ila tu kumsikiliza mwanaume,kua chini ya mwanaume,,kumtegemea mwanaume,kum worship mwanaume,kibaya zaidi wanawake wenyewe wanahusudu utaratibu huo..
 
Back
Top Bottom