Nitabisha mpaka kufa... Hajasema hivi

[emoji102] [emoji15] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji23]

Kaka huko chini kuna utamu bana
Mtume mwenyewe aliweza kuvunja amri akala tunda kisa kaambiwa na mwali wake sembuse sie??
Vilevile lazma tujiulize,kwamba hali hio alikua APPLE na maisha yetu humu duniani ni shida tupu
Je angekula PILIPILI??
Isingekuwepo JF wala QF
Ni jambo la kushikuru kwa kula Apple[emoji1321]
 
View attachment 694623na kama kweli kasema...... [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji621] [emoji621] [emoji621] [emoji621]
Anaungana na Dr. Antony Lusekelo.....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kuna utafiti wowote sehemu yoyote duniani unaonesha polygamy inapunguza "umalaya"?
 
Hii inatuhusu sisi wa dini ile yenye kizuia hicho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…