Neutral Man ZT
JF-Expert Member
- Sep 5, 2025
- 263
- 478
Amen amenSawa basi jua hayo yatatukia muda si mrefu, kibinqdamu ht mi natamani ht kabla ya 9d lkn........ bt ,haizidi 6 month....
Amen amenSawa basi jua hayo yatatukia muda si mrefu, kibinqdamu ht mi natamani ht kabla ya 9d lkn........ bt ,haizidi 6 month....
Huo utopolo wa 6900 ndio ulituahidi?I have to write something important kesho
Tarehe 15th November 2025
Britanicca
Kivipi?Huo utopolo wa 6900 ndio ulituahidi?
Tafuta hiyo taarifa aliyoileta hapa ya idadi ya watu waliouawa kwenye maandamano, ambayo anasema Samuya amepewa na mtu wake anayemwamini.Utopolo
Kivipi?
Ukweli ni upi?Tafuta hiyo taarifa aliyoileta hapa ya idadi ya watu waliouawa kwenye maandamano, ambayo anasema Samuya amepewa na mtu wake anayemwamini.