Makuku Rey
JF-Expert Member
- Dec 31, 2013
- 3,638
- 4,183
I'm waiting for........
Are you shure?Check profile yangu, niko humu wakati wewe bado upo secondary school
Watu kuuliwa unaziita porojo. Sasa subiri hapo mitutu hiyo hiyo itakapo elekezwa kwa huyo Samia na Genge, ndipo utakapojuwa kuwa hizo ni porojo kweli..Zile porojo zenu bado mnazo?
Hakuna anayempa mwingine "matumaini hewa" hapa.Mnatupatia matumaini hewa,
Hadi rafiki yetu Tumainiel kakimbia account yake
Kore kara minna de..
Hayuko Tz huyo ,majira tofautiAcha bangi, kesho n 14 November 2025
Kwani alisema na tarehe na mwezi atakaondoka?Mnatupatia matumaini hewa,
Hadi rafiki yetu Tumainiel kakimbia account yake
Wakarimashita, ki o tsukemasu ne.Nippon ni wa imasen.🤗wah! sorewa omoshiroine! Nippon imasuka? Jah kiosukete ne! 😀
わかりました 😎Wakarimashita, ki o tsukemasu ne.Nippon ni wa imasen.🤗
Amekuambia hvy?Hayuko Tz huyo ,majira tofauti
Kwenye comment yangu nilitumia wingi,Kwani alisema na tarehe na mwezi atakaondoka?
Sawa basi jua hayo yatatukia muda si mrefu, kibinqdamu ht mi natamani ht kabla ya 9d lkn........ bt ,haizidi 6 month....Kwenye comment yangu nilitumia wingi,
Sukutumia umoja.
We mgeni hapa?Amekuambia hvy?
TunasubiriI have to write something important kesho
Tarehe 15th November 2025
Britanicca