Ndio tatizo la taarifa za kibongobongo za kuwa nimeambiwa sijui za chini ya uvungu au eti zimetoka jikoni....halafu mbulula zote zinaamini...
Leta hapa ushahidi wa maongezi ya kudukuliwa iwe ya simu au mtandao, sio upupu kila siku wa nileletewa za ndani....