Acheni kuzingua JF inatumiwa zaidi na watu wa East africaSio kila mtu yupo bongo wengne leo muda huu ni tar 14 tayar achen umbumbumbu
Dogo anaishi Australia.Kumbe siku hizi ukitoka tarehe 13 siku inayofuata itakua tarehe 15!
Sikuhz umehamia kwenye siasaBrii shusha sasa hivi, zege halitakiwi kulala
Mkuu upo muda wa mbele sana.I have to write something important kesho
Tarehe 15th November 2025
Britanicca
Nijuwacho mimi ni kuwa Samia hana muda mrefu. Hili hata kipofu/kiziwi hawezi kukosa kulifahamu.Mtaona ntakachoeleza won’t lapse for a week
ChaiUshalewa dogo.
Rudi nyumbani sasa.
Acha ujuaji kwani Watanzania Tunaoishi nje ya afrika hatutumii JF? Are you serious?Acheni kuzingua JF inatumiwa zaidi na watu wa East africa
Ni bora ya hawa "wanao ombea", sara zao zinaweza kukataliwa. Sasa linganisha na hawa akina Samia na Genge lake, wanaopanga kabisa kungali mapema kuwa wataua waTanzania.Watu mnaombea watu wafe 🤣
Nijuwacho mimi ni kuwa Samia hana muda mrefu. Hili hata kipofu/kiziwi hawezi kukosa kulifahamu.
Sijui hawa watu waliichukuliaje hii nchi!
Mnatupatia matumaini hewa,Nijuwacho mimi ni kuwa Samia hana muda mrefu. Hili hata kipofu/kiziwi hawezi kukosa kulifahamu.
Sijui hawa watu waliichukuliaje hii nchi!
Aondoke maana mikono yake inanuka damu ,katuulia ndugu zetu wengi sana!Nijuwacho mimi ni kuwa Samia hana muda mrefu. Hili hata kipofu/kiziwi hawezi kukosa kulifahamu.
Sijui hawa watu waliichukuliaje hii nchi!
I have to write something important kesho
Tarehe 15th November 2025
Britanicca
Nchimbi anaula nini?