Nitaandika kesho βœπŸ»πŸ™πŸ½

Watu mnaombea watu wafe 🀣
Ni bora ya hawa "wanao ombea", sara zao zinaweza kukataliwa. Sasa linganisha na hawa akina Samia na Genge lake, wanaopanga kabisa kungali mapema kuwa wataua waTanzania.

Samia tokea mwanzo kabisa, vitendo vyake vyote vilifanyika akijuwa wazi kuwa matokeo yake ni waTanzania kuuliwa kikatili; na kajiandaa kabisa kutimiza lengo hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…