Nitaandamana 'milele' kuipinga TEC na kuunga mkono mashehe

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
10,959
Reaction score
13,426
Jina langu halisi naitwa Muhamed Awadh Mafwere. Ni inspekta wa polishi kikazi.

Kwa amri toka juu, niliwaita washirika wetu akina Zuwena aliyejiita Rose, Zahra aliyejiita Sofia, Mahamoud aliyejiita Martin, Yahya aliyejiita Yohana na wengine wengi.

Kama 'wakatoliki' tuliandamana kupinga namna dini 'yetu' inavyotumika vibaya na kupiga vita serikali ya kipenzi cha Mungu na Watanzania.

Hivyo, binafsi kama 'mkatoliki' halisi, mimi Muhamed Awadh Mafwere Magwengefwenge Mwakafwila, naapa kuwa nitaandamana hadi Mtume sorry Yesu atakaporejea.
 
Even by their looks they failed Catholicism. They’re simply a bunch of idiots!
 
Ila kama hiki kilichotokea serikali au kama kuna kiongozi wa serikali ndio ameratibu huu upuuzi amezingua pakubwa sana huwezi kushindana na taasisi kama Ile Kwa mbinu dhaifu Kiasi hiko
 
Unazionaje akili za hawa watu. 1. Who are you. 2. Kama hamtaki ... hamieni Burundi. 3. Lopolopo mwingine wa jiji la Dar, mchapa viboko wanafunzi huko Mbeya. Hawa wanaweza kufanya chochote.
 
Jina langu halisi naitwa Muhamed Awadh Mafwere. Ni inspekta wa polishi kikazi.

Kwa amri toka juu, niliwaita washirika wetu akina Zuwena aliyejiita Rose, Zahra aliyejiita Sofia, Mahamoud aliyejiita Martin, Yahya aliyejiita Yohana na wengine wengi.

Kama 'wakatoliki' tuliandamana kupinga namna dini 'yetu' inavyotumika vibaya na kupiga vita serikali ya kipenzi cha Mungu na Watanzania.

Hivyo, binafsi kama 'mkatoliki' halisi, mimi Muhamed Awadh Mafwere Magwengefwenge Mwakafwila, naapa kuwa nitaandamana hadi Mtume sorry Yesu atakaporejea.
Acha kuvutia bangi makalioni
 
Hahahahahahahaaaa🤣🤣🤣🤣🤣
We jamaa ni muhaini
 
Waliowatuma wale wahuni wafanye fujo oktoba 2025 ili wapindue nchi ndiyo hao hao wanaolia na kusaga meno kwa kilichowakuta vijana wao
 
Back
Top Bottom