mzee umelitoa povu aseee hahahah... yaani hata mm nasubiria sijui lini1. Applicants to Bachelor Degree: Mpaka leo hii majina ya selected applicants bado hayajawa released and uploaded kwenye website yao. List ya selected applicants eti ipo kwa msajiri, na inasambazwa kwa picha. Yaani wameamua 'kui-release' kwa njia hiyo ya 'picha' na kurusha kwenye social media. Tuamini vipi authenticity ya hiyo release ya picha?
Eti majina yapo chuoni watu wakaangalie. Huu ni upuuzi wa karne. Hivi mnadhania applicants wote ni wakazi wa DarSlum eeh waje hapo Mabibo just to view the selection release?!! Soft copy ya hiyo list mnayo, mnashindwa nini kui-upload kwenye hiyo website yenu ili applicants wote countrywide waangalie? Ni uvivu, uzembe ama kitu gani? au ndiyo kufanya kazi kwa mazoea?
2. Applicants to Certificate and/or Diploma: List ya selected applicants ipo kwenye website. Ila cha ajabu hiyo selection release haifunguki! Ukiibonyeza, inakwambia 'jaribu tena next year'.
3. Website ya N.I.T haina any update za chuo kuhusu chochote kile. Hivi hamna kitengo cha I.T? au I.T yenu mmejaza wazee wasioweza kuendana na kasi ya sasa ya technology?
4. Niliwahi kuwatumia email (inquiry), nilijibiwa baada ya miezi miwili! Nchi hii ni ngumu sana walahi.
Nyie N.I.T ni chuo cha elimu ya juu kweli? ama ni kijiwe cha tuition center?
Kama ni Chuo kweli, basi fanyeni kazi in professional manner na muendane na kasi ya teknolojia.
Delay to officially release the selection list, mnasababisha watu tunakuwa stranded on dilemma towards pre-study arrangements.
Tushapanua sana miguu huku kitaa. Sasa ni muda wa kwenda kupanua akili darasani.
Wekeni majina kwenye website yenu. Acheni ubabaishaji.
-Kaveli-
mzee umelitoa povu aseee hahahah... yaani hata mm nasubiria sijui lini
REAllyMkuu, nchi za kiafrica bado tuna safari ndefu sana.
List wanayo, ila kui-upload tu kwenye website imekuwa shuhuli.
Mpaka sasa tunaelekea November, bado mtu hajawa sure ni chuo kipi kawa selected. Sasa hebu imagine mtu amebahatika kupata scholarship to study in home country, na akaambiwa a-submit Admission Letter by August, si anaikosa hiyo scholarship.
Mara GPA ya 3.5. Mara GPA 3.0. Nacte wanasema hivi kwenye profile, chuo kinasema vile.
Yani nchi hii mkuu kuna mambo mtu unaendelea kushangaa tu kila siku.
-Kaveli-
Hiyo inaitwa kampa kampa tena ujumbe umewafikia
Hicho ni kijiwe cha tuitio so chuoo mkuui
kma ndio hivyo mkuu ungeomba THE AMAZON COLLEGE .1. Applicants to Bachelor Degree: Mpaka leo hii majina ya selected applicants bado hayajawa released and uploaded kwenye website yao. List ya selected applicants eti ipo kwa msajiri, na inasambazwa kwa picha. Yaani wameamua 'kui-release' kwa njia hiyo ya 'picha' na kurusha kwenye social media. Tuamini vipi authenticity ya hiyo release ya picha?
Eti majina yapo chuoni watu wakaangalie. Huu ni upuuzi wa karne. Hivi mnadhania applicants wote ni wakazi wa DarSlum eeh waje hapo Mabibo just to view the selection release?!! Soft copy ya hiyo list mnayo, mnashindwa nini kui-upload kwenye hiyo website yenu ili applicants wote countrywide waangalie? Ni uvivu, uzembe ama kitu gani? au ndiyo kufanya kazi kwa mazoea?
2. Applicants to Certificate and/or Diploma: List ya selected applicants ipo kwenye website. Ila cha ajabu hiyo selection release haifunguki! Ukiibonyeza, inakwambia 'jaribu tena next year'.
3. Website ya N.I.T haina any update za chuo kuhusu chochote kile. Hivi hamna kitengo cha I.T? au I.T yenu mmejaza wazee wasioweza kuendana na kasi ya sasa ya technology?
4. Niliwahi kuwatumia email (inquiry), nilijibiwa baada ya miezi miwili! Nchi hii ni ngumu sana walahi.
Nyie N.I.T ni chuo cha elimu ya juu kweli? ama ni kijiwe cha tuition center?
Kama ni Chuo kweli, basi fanyeni kazi in professional manner na muendane na kasi ya teknolojia.
Delay to officially release the selection list, mnasababisha watu tunakuwa stranded on dilemma towards pre-study arrangements.
Tushapanua sana miguu huku kitaa. Sasa ni muda wa kwenda kupanua akili darasani.
Wekeni majina kwenye website yenu. Acheni ubabaishaji.
-Kaveli-
hembu msichafue jina ya hiki chuo bana NIT ni chuo cha kipekee East Africa kinatoa course ambazo huwezi kuzipata kwenye chuo chochote East Africa msiwe na haraka wadogo zangu ya kuja chuo mtasoma sana mpaka mchukie kusoma karibuni sana NIT
Usiseme hivo dada!Hicho ni kijiwe cha tuitio so chuoo mkuui
Ndo mana siachi kutumia kile Nesta Marley alitumia!Mkuu, hiki 'chuo' kinalalamikiwa sana. Nasikia hata ratiba yao ya masomo ni mbayu mbayu, haieleweki!
Wajirekebishe bwana. Now tupo zama za professionalism and efficiency, plus technological facilitation to ease things.
Hizi sio zama za manual work eti kubandika majina kwenye notice board watu watoke all the way majumbani mwao to Mabibo kwenda kuangalia majina.
Africa tunapotezeana sana muda unnecessarily. This is among the factors as to why hatupigi hatua kimaendeleo.
-Kaveli-
Chuo cha KATA...hembu msichafue jina ya hiki chuo bana NIT ni chuo cha kipekee East Africa kinatoa course ambazo huwezi kuzipata kwenye chuo chochote East Africa msiwe na haraka wadogo zangu ya kuja chuo mtasoma sana mpaka mchukie kusoma karibuni sana NIT