Nissan Note Hybrid 3rd gen izingatiwe. Hafu bei sio ya moto kivile kwa waliojipata!

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
31,139
Reaction score
88,800
Nissan Note Hybrid 3rd generation (E13) yenye engine (generator) ya cc 1200 na e-Power hybrid system ya Nissan ni chuma ambayo watu wanajifanya hawaioni.
1280px-Nissan_NOTE_E13_20201219-1_(cropped).jpeg

Kwa CIF ya Mil 20+ na kodi ya mil 13+ unapata hii hatchback moja kali sana.

Model ya 3rd gen imeanzia 2020+ na una options za FWD au AWD.
BX860236_16924632.jpg

Hii gari itakupa full taste ya EV kwasababu engine yake haizungushi matairi kabisa bali ina act kama generator so kazi ya kuzungusha matairi ameachiwa battery na motor.
file_00000000873861f7999a118762a866bf.png

Hii system inaitwa series-hybrid system, ni tofauti na parallel hybrid system kama ya kwenye Prius na Hybrid nyingine nyingi. Ina fuel consumption nzuri ya 34-44km/L mjini kutokana na eco mode na regenerative braking system zake.
BX860236_16924635.jpg

Hii model mwaka 2021 ilichukua tuzo ya Japan Car of the Year kutokana na hii innovation ya hybrid system, jumlisha na bei yake, fuel consumption, handling na performance yake.
BX860236_16924636.jpg

Baadhi ya safety features kama Propilot, Lane departure system, Collision prevention systems, 360 degrees view cameras etc zinazidi kuipa upekee hii gari.
BX860236_16924639.jpg

Kwa mtu anaetaka kuonja experience ya EV (smooth acceleration & comfort) na anaethamini sana fuel consumption hii gari inamfaa. Kikubwa aandae pesa kuanzia Mil 30+ hadi 35 hivi.
 
Nissan Note Hybrid 3rd generation (E13) yenye engine (generator) ya cc 1200 na e-Power hybrid system ya Nissan ni chuma ambayo watu wanajifanya hawaioni.
View attachment 3327148
Kwa CIF ya Mil 20+ na kodi ya mil 13+ unapata hii hatchback moja kali sana.

Model ya 3rd gen imeanzia 2020+ na una options za FWD au AWD.
View attachment 3327150
Hii gari itakupa full taste ya EV kwasababu engine yake haizungushi matairi kabisa bali ina act kama generator so kazi ya kuzungusha matairi ameachiwa battery na motor.
View attachment 3327151
Hii system inaitwa series-hybrid system, ni tofauti na parallel hybrid system kama ya kwenye Prius na Hybrid nyingine nyingi. Ina fuel consumption nzuri ya 34-44km/L mjini kutokana na eco mode na regenerative braking system zake.
View attachment 3327154
Hii model mwaka 2021 ilichukua tuzo ya Japan Car of the Year kutokana na hii innovation ya hybrid system, jumlisha na bei yake, fuel consumption, handling na performance yake.
View attachment 3327157
Baadhi ya safety features kama Propilot, Lane departure system, Collision prevention systems, 360 degrees view cameras etc zinazidi kuipa upekee hii gari.
View attachment 3327158
Kwa mtu anaetaka kuonja experience ya EV (smooth acceleration & comfort) na anaethamini sana fuel consumption hii gari inamfaa. Kikubwa aandae pesa kuanzia Mil 30+ hadi 35 hivi.
Hii tusiite hybrid naona kama tunakosea, tuiite electric car with range extender
 
Naukubali sana Mzigo wa mazda demio engine codes DEJDS,huu mzigo una engine ya Skyactive,ambao ni kama hybrid na ni cc 1290,ni bei poa sana kwa kuagizia haifiki hata 16m

Inakula wese around 25-30km kwa lita.

Nataka nimchukulie wyfe mi nibaki na ngoma ngumu yangu ford pick up old model,gari ya shamba
 
Attachments

  • Screenshot_20250509-080158_Opera.jpg
    Screenshot_20250509-080158_Opera.jpg
    254.7 KB · Views: 29
Back
Top Bottom