Nissan March 2004 model( Intelligent Key system) Car Manual

Kalumbesa

JF-Expert Member
Nov 24, 2010
1,013
356
Hi Wanajukwaa,

Nimejaribu ku google kupata english manual ya hii gari,kwani gari imekuja na japanese manual ambayo inakuwa vigumu kuielewa,ila sijaipata.Najua yawezekana kuna wana jamii forums wanaoweza kuwa na aina hii ya gari,au waliwahi kuitumia..naomba msaada kwa anayeweza kuwa na hata maelezo yoyote ya ziada,yanayoweza kunisaidia kuielewa vyema hii gari
 
Hasa kuhusu hii remote(intelligent key) ni kiasi gani ipo secure,na je hii key ikipotea inakuaje,gari haijaja pamoja na physical key,manual ilikuwa ndio jibu la yote sasa nipo na japanese manual naangalia picha tu!
 
I now have a yellow check engine light on the car, i googled to get the way to reset,but i havent got it right.Someone has told me he had bought the same car and face the same problems in the first few months,he told me the problem might be due the poor quality of fuel we use.Has anyone faced similar problem? Please advice!
 
Back
Top Bottom