Subaru_wrx
Member
- Mar 14, 2018
- 12
- 2
Bandiko lako HALIELEWEKINimemaliza form 6 2015 kwa faulu mzuri tu kwenda Chuo .sema wazazingu wakanishauri nisiende kusoma hiyo kozi banking and finance sio nzuri katika kuomb transfer wakanichagulia kozi nyengine but ilikuwa ya science Mimi nimemaliza commercial arts. So nikanza diploma Latina kumalizia mwaka wa mwisho nikipata training on Agriculture Indonesia ya 6 month so sikumaliza diploma.yangu sasa nikarudi Tanzania nilivyo kuwa kule nikaweza pata scholarship wakaniambia watanipa next ambayo ndo mwaka huu 2018 . nanimesha anza masomo yangu hapa Tanzania ya bachelor 3 yrs so naomba ushauri wenu nichukue hiyo scholarship ya Indonesia ya bachelor 4yrs au ni baki tu Tanzania maana nimaliza nao mwaka huu ndo.wana graduated.
Kama Mdogo wenu kaka zangu na Dada zangu naombe ushauri wenu?
Tutakushauri sana ila swali litabaki, wewe unapenda nini toka moyoni!!Am 24 yrs saivi. Gender - Male
Nasoma bachelor in commerce in finance Niko first year
Course nayo enda soma Indonesia ni bachelor in Agribusiness.
Nilivyo enda Indonesia last 6 month nikaona a lot of opportunities on field ya agriculture.
And wish to work on big NG0's because I had an experience in the six month in Indonesia and I was good at it
HahahahPigia hapa hapa "into the bad land"
Asante kakaDogo kwa nini uumize kichwa hapo Ud na elim ngumu.
Nenda nje urudi na bachelor yakl imeng'aa. Utapata kazi fresh tuu
Asante kwa ushauri wako mzuriKama nimekuelewa vizuri ndugu yangu ni kwamba ndio kwanza upo mwaka wa kwanza hapo UD na course unayo ichukua ni ya miaka mitatu na umepata scholarship ya kwenda nje miaka 4 tena ktk nchi ambayo ulishawahi kwenda na ukaishi for 6 months.
Ushauri wangu nikwamba andika barua ya kuhairisha masomo hapo UD then nenda nje kapige 4 years.
Why nimekushauri hivyo ni kwasababu hata utakapo maliza hiyo shule yako nje ya nchi ukirudi hapa nyumbani utakua umeongeza exposure.
Lapili nikwamba hata utakapo kujakuomba ajira utakua na chance kubwa kuajiriwa kuliko labda hata hao wenzako wanaomaliza mwaka huu, maana unaweza ukawakuta wapo wapo tuu. You know why unaweza kuajiriwa kuliko hao wenzako nikwasababu tayari ulishakua na hiyo experience ya kufanya kazi kwenye hiyo agricultural sector kama ulivyo eleza kwenye maelezo yako kwamba you worked for six months. Nakubwa zaidi umeenda kusomea the same related issues.
Halafu pia unawezakuta unaenda kusoma ktk university yenye higher status duniani kuliko hiyo UD ambayo daily kuna kiki za kijingajinga mara "Nondo" kajiteka mara paa "Msumari" umetoeka haupo chuoni. Then munaanza kudiscuss mambo ya kijingajinga badala ya kusoma.
Kubwa zaidi ndugu yangu kwa vile wewe Dume so huna skirt ya kuwavulia baadhi ya hao jamaa hapo UD ukute unamaliza na G.P.A yaajabu. Yaani haifai hata kwa mboga.
Kwa afya ya mafanikio yako ya baadae nenda mbele kwa mbele.
Pigia hapa hapa "into the bad land"
KWANINI MZEE UNAFANANISHA BONGO NA BADLANDSPigia hapa hapa "into the bad land"
Nenda Indonesia, agribusiness ni field mpya hapa unaweza ukapata opportunities nyingi! Nenda huko, ukiwa huko make contacts za ajira inavyowezekana.Yes nimepata scholarship
Sua nili apply sikupata ndo nimechaguliwa hiyo bachelor In commerce in finance... Udsm
Moyoni I nataka hiyo scholarship Indonesia kwasababu nilikuwa huko. For 6 month na I enjoyed using it ..
Sasa usauri wa wazazi ilinicost mmno ningekuwa tayari namaliza nawezangu sa saivi toka nilipo maliza high school ..
So kwa wengine wenye experience. Need advice in that