Nisome vitabu gani vya coding? Nahitaji kujifunza kuhusu coding.

Naomba nitofautiane na ww kwenye mengi kati ya haya uliyoyatoa


Naona mfumo wa chuo umekuharibu, full kukariri. Mimi ni mkulima na nilijifunza mwenyewe programming bila kwenda chuo!!

Haya mawazo ya kusema mtu aanze na C alafu C++ ni upotezwaji muda... Huu mfumo uache huko huko chuoni kwenu!!
Kwa mtu mwenye lengo la ku-develop mobile na desktop software, kernel programming, robotics, AI hakuna njia ambayo unaweza epuka C au C++, memory management ya C++ wakati wa execution ni nzuri kuliko programming languages kama javana ndio maana bado games na software nyingi kubwa ikiwemo Android zimeandikwa kwa C++.

Kama unataka kuwa software developer basi huwezi ikimbia java kwa amdroid apps!!
Sio kweli ili utengeneze Android Apps ni lazima ujue JAVA, Nadhani unafahamu kuwa android wana kitu kinaitwa Android Native Development Kit(Android NDK),
Hii ni SDK ambayo ipo kwa ajili ya kuunda android apps kwa kutumia C++ na C kwa hivyo unaweza kuunda apps bila kusoma java.

Halafu umeongelea software development kwa upande wa mobile vp kuhusu desktop ambapo mara nyingi huwa tunatumia QT Framework ikiwemo VLC media player imetumia QT framework ambayo software zinaundwa kwa C++?.

Binafsi narudia tena C++ ni language bora kuanza nayo kwa sababu unaweza kuunda hizo mobile apps na desktop software ,japokuwa java na kotlin zipo kwa UI kwa android.

kwa mwenye lengo la kuelewa programming kwa uweledi hakuna namna unaweza ikwepa c++ kwa sababu ina concept za OOP na Procedural Programming.
 
thesym nakubaliana na wewe ila niliposema java ni must kwenye android development sikumaanisha hamna langauge ingine... Kuna c++, javascript kwenye native na kotline ya juzi juzi... Lakin katika zote hizo java ndio ina community kubwa na resources nyingi za kujifunzia android tofauti na hizo language nyingine!!

Umeongelea kuhusu excusion na memory management, ni kweli c na cpp ziko vizuri kwenye memory na ndio maana zinatimika kwenye critical projects... Lakin hapa sikua naongelea projects ambazo ni zina demand attention ya memory kiasi kwamba uhitaji cpp... Jvm/garbage collector is more than enough kwenye app nyingi!!

BTW ukishaijua java inakufungulia njia ya kusoma languages nyingine ikiwemo cpp!!

Labda nikuulize up to now ni android apps ngapi zimetengenezwa kwa cpp na ngapi zimetengenezwa kwa java?

Pia sikugusia apps za pc maana kwa soko mobo apps ndio zinakimbiza... BTW hata ukiwa na java unaweza tengeneza software za pc kwa kutumia javafx...!!
 
Mm mwenyewe nimeanzaaa kujifunzaa python..... Taratibu tu na kitabu kinaa page 500+... Sijui lini nitakimalizaa ilaa sikati tamaaa
Sio mbaya kama tutakuwa tunachnagia mawazo nina kama mwaka mmoja hivi niko najifunza Python
 
Wakuu nashukuru sana kwa mapendekezo yenu, nahitaji kusoma coding kwa ajili ya software development.

Tuendelee kujuzana maujanja ya mambo haya.
 

Code mbona kama rahisi nimeanza na HTML na C++ naona easy tu sioni ugumu ila forex nipo mwez wa tatu du inahitaji moyo but sjawahi shindwa naamini nitaweza tu hii html na C++ Natumia mwezi tu nakuwa nishaelewa kila kitu
 
Ngoj
Computer programming language ni:

1-C Language
2-C++
3-Objective C
4-Java
5-Javascript
6-Rubi
7-Python

Nakushauri anza na namba moja, uanze basics zake zote kisha uimalize yenyewe. Ukiweza kuimudu hizo nyingine utajifunza kirahisi
Wacha na mm nianze kujifunza kaa mkao wa kula mzee baba maana any time nitakuwa nakusumbua sumbua kwa sana tuu..

Maana fani ya auto electronics na kutojua mambo ya programming aisee nikupelekeshana na kuwa tegemezi na kuliwa pesa kila siku na wajanja..
 
Mkuu kuna watu wamekuua aisee mpaka nilianza kuumia moyoni thank God uko fine kule kwenye uzi wa peniela
 
Pia nimejaribu kusoma python naona ofcoz its kinda simple ila nahitaji ndau wa ku interact nae.. vp can we pal up?
 
kuna vitu vya kuanza unatakiwa ujue what is coding,how to pia upate review za watu pia ujue haina za language na etc

binafsi unatakiwa uanze na web coding
1. html
2.css
3.javascript
4.php

hapa itakusaidia sana

then unafika kwenye programming language za kudevelop program
hapa ndo huwa wengi wanashindwa kuwa na mahamuzi sahihi mwisho wanakuwa wanadunda dunda tu basic mwishowe hawawi programmer ila wanakuwa joker programmers haha why?

unaweza kuwa programmer wa aina moja tu au mbili tu na ukatoboa on this world

kuna
C
C++
JAVA
PYTHON
GO
RUBY
VB

unaweza ukachagua C au JAVA tu kusoma daily na ukatoboa

my advice ni chagua language 2 tu ,kazania kama utakuwa seriosly basi game over you are now a programmer hahah

soma c and c++

DONT FORGET
CODING IS NOT ABOUT WRITTING IT IS ABOUT THINKING

study as hobby,do more practice


dont forget to press THANKS BUTTON
 
point taken
 
Code mbona kama rahisi nimeanza na HTML na C++ naona easy tu sioni ugumu ila forex nipo mwez wa tatu du inahitaji moyo but sjawahi shindwa naamini nitaweza tu hii html na C++ Natumia mwezi tu nakuwa nishaelewa kila kitu
rahisi ukipata right piece of information as required, sio mambo mengi yasio na maana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…