Sokoro waito
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 2,201
- 2,602
asante sana mkuu, kama una kitabu chochote kuhusu javascript niwekee hapahapo nakushauri usome language ambazo ni nyepesi iliupate uzoefu kwa mfano JavaScript unaweza anzia apo
shukrani mkuukwa kuanza nenda w3schools.com utapata darasa la web programming
Kitabu kizuri sana lakini cha muhimu ni hio part ya commitment,Mimi binafsi nimesom programming miaka 6 sasa na kiukweli nitakwambia zaidi ya kwamba naelewe basic concepts lakini siwezi kusema nitafika wakati nikae chini niandike program from scratch sana sna ujuzi wangu unanisaidi tu kuweza kucheza na existing programs na kuzisimamia.Na yote hiyo ni kutokana na ukweli kwamba programming lazima iwe hobby.Ila nimependa kwamba ameonesha nia,vingine taratibu.Jambo la muhimu pia ni atafuta programmer wazoefu awe anashare nao ideas ili apate challenge itamjengaProgramming nakushauri anza kwa kusoma programming language achana kwanza scripting kama javascript.
Lugha nzuri ya kuanza ni C/C++, vitabu ambavyo ningekurecommend kuanza navyo ni vile Paul Daitel & Harvey Daite
amcho kinaitwa C How to Program. With an Introduction to C++
View attachment 884821
Ukikielewa hiko kitabu na ukafanya maswali ambayo yapo humo languages zingine kama javascript, java, php unateleza.
programming inahitaji uwe na commitment kuimaster.
Kuchagua lugha kwa mtu ambaye ndo anaanza ni changamoto nafikir itapendeza zaid ukamwambia kama mtaalamu ni lugha gani matata ambayo anaweza chaguaFirstly chagua language moja utakayo on a inafaa...na uikomalie mpaka uwe PRO
Lazma achague yeye akiambiwa atakua na uvivu...Kuchagua lugha kwa mtu ambaye ndo anaanza ni changamoto nafikir itapendeza zaid ukamwambia kama mtaalamu ni lugha gani matata ambayo anaweza chagua
Hata mimi hii fani huwa natamani sana kuijua ila kwa sasa nimeshajaa uvivu sana wa kusoma kwa maana ya shule sijui kwa niniComputer programming language ni:
1-C Language
2-C++
3-Objective C
4-Java
5-Javascript
6-Rubi
7-Python
Nakushauri anza na namba moja, uanze basics zake zote kisha uimalize yenyewe. Ukiweza kuimudu hizo nyingine utajifunza kirahisi
Nia yako utafanikishaHata mimi hii fani huwa natamani sana kuijua ila kwa sasa nimeshajaa uvivu sana wa kusoma kwa maana ya shule sijui kwa nini
Kuna mambo mpaka niyaweke sawa ila nina kijana wangu mmoja ntamuexpose ili yeye mwenyewe ayapende haya mambo aje abobee aniwakilishe vyema......hata mimi ntajitahidi one day ntaweza tuNia yako utafanikisha
Muda haukusubiri kumbukaKuna mambo mpaka niyaweke sawa ila nina kijana wangu mmoja ntamuexpose ili yeye mwenyewe ayapende haya mambo aje abobee aniwakilishe vyema......hata mimi ntajitahidi one day ntaweza tu