Nisome short course ipi inisaidie kimaisha

Mar 19, 2018
5
2
Mimi ni kijana wa miaka 25 nimehitimu form six mwaka 2017 nikapata Division 3 ya point 14, yaani PCB=DEE ambayo sikustahili kupata mkopo wa serikali, na kutokana na uchumi pia nilishindwa hata kuendelea na college yoyote lakini sasa hivi nina laki 3 nahitaji kusoma.

Nahitaji mawazo yenu wadau.
 
Duu Laki tatu,nenda kaulizie veta mzee see jui gharama zao shingapi
 
Back
Top Bottom